Sehemu ya 1
Vishawishi tumeumbiwa binadamu ingawa vingine yatupasa kujitahidi kuepukana nanyo, maana binadamu tumepewa akili tukitofautisha na viumbe hai vingine.
Ilikuwa ni siku ya ijumaa...
Tangu afariki Marehemu Kanumba industry ya filamu imeshuka Sana lakini Leo hii nimebahatika kuona filamu ya Lulu Michael au Elizabeth Michael kupitia YouTube. Movie hiyo inaitwa "Ni noma" Ni kazi...
Nimekuwa mfuatiliaji wa tamthilia nyingi zinazorushwa na Azam two.
Nawapongeza sana.
Kwa sasa pamoja na nyinginezo tamthilia iliyopo ni Kara Sevda.
Sielewi mapenzi ya kituruki kwa mwanamke wa...
Pitia Reseach hii ili kuboresha muziki wako, imeletwa kwenu na Don Nalimison kwa maslahi ya Wanamuziki wa Tanzania.(PDF) ya chini.
I real Congrats CATHERINE KUTEESA from UGANDA for her...
“KIJIJI CHA LUPASO, KWA NINI UMENILIZA?”
Lupaso Lupaso, wilaya ya Masasi.
Kijiji mkorosho, jimbo la Nanyumbu.
Kwako kuna korosho, zao la biashara.
Wamakonde wamekupenda, makazi kuyaweka...
Mfano, Cosmas Chidule aliimba nyimbo nzuri kuhusu makao makuu Dodoma, lakini aliiharibu kwa kuitaja CCM kwakuwa wakati anaitunga nchi ilikuwa ya chama kimoja. Ziko nyimbo za furaha, huzuni na...
Salama wakuu!
Ipo hivi najua kila mtu ashasikiliza ile album yake sasa mle naona kama kuna nyimbo nyingi nyingi kachukua beat mfano wimbo wa "body" harmonize ft burna boy, kachukua beat na neno...
Wadau wa nyimbo za injili kuna wimbo mmoja Isaack Ndodi anapenda kuutumia katika kipindi chake kinachotangazwa na RFA kila siku saa 4 usiku. Moja ya mistari ya wimbo huo unasema HAKIKA NATEMBEA...
"Vision yetu ilikuwa ni kuhakikisha Clouds Fm usikivu wake unasikika pakubwa nchi nzima la pili kuhakikisha East Africa tunaipiga tumeashaanza kupata leseni tulipata tatizo moja tu Kenya kuna...
12,000 years ago before the first episode was shot, a group of children lived in Westeros. They were called Children of the forest. After a while, some folks came and invaded their space. They...
Akiwa na miaka 10 kwa industry Rapper drake aka drizzy siku ya jana aliweza kuvunja na kuweka rekodi yake mpya kwenye charts kubwa duniani za billboard. Billboard ilimtangaza drake kuvunja rekodi...
Wapo wenye mtazamo kuwa bifu hutengenezwa ili kuleta ushindani katika soko la burudani Kama vile movie au muziki kwa mfano Alikiba Vs Diamond.
Je, unahisi ni kweli?
Haya makundi mawili ya waigizaji yamejizolea umaarufu sana kwa kutengeneza filamu kali zinazobamba saaana.
EXPENDABLE = hii series ya movies imesheheni Waigizaji wakongwe na waliotamba saana...
Joto la uchaguzi limeanza, wanasiasa wanapishana huku na kule wakitafuta njia za kuweza kuendelea kushiriki kwa namna moja au nyingine katika ngazi mbalimbali za uongozi wa kisiasa. Wanamuziki...
EMERGENCY SALVATION
He was a play boy, professional womanizer,
When it came to women, he was no miser,
He loved to party
He carried them all,
Tall, slim, even fatty
One day, he decided to settle...
Habarini wakuu....Mtu ukikikumbuka kitu basi nakuwa kama nnaarosto nacho hivi.Iyo movie
Nimeisahau jina ila nakumbuka storyline kwa uchache...Nahisi star ni Ramsey Noah, Ramsey (kama ndiye)...
Ujio wa hii channel mpya ya upendo TV kwakweli nimeufurahia, zinapigwa nyimbo za injili muda wote. Kwa sisi wapenda nyimbo za injili hili ni la kupongezwa
Pia jamaa wanapiga nyimbo zote bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.