Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Leo nimeikiza Clouds Fm's XXL bila ya uwepo wa Dozen lakini bado nimeona show ni nzuri. Wana varieties ya segment ambazo haziboi. Mamy amerudi kwenye Hot3@3 basi utani wao na Mchomvu inakuwa...
5 Reactions
29 Replies
4K Views
Pengine kutokana na hulka ya JPM kufanya teuzi mbalimbali za wasaidizi wake kutoka vyombo mbalimbali vya habari inawezekana kabisa hii dhana imewaondolea weledi baadhi ya watangazaji wengi wa...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Joker au jokeri, wacheza karata wanampenda na wanamwogopa, akikulalia huyu unahesabiwa una 50, kwenye adhabu unamlambisha mtu 5. Tuachane na huyu Joker anayejulikana kwa jina la Arthur Fleck...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Sitoisahau Mbeya; Mwanzo mwisho..
5 Reactions
6 Replies
5K Views
RIWAYA: MKOLONI MZAWA—2 MTUNZI: HASSAN MBONECHE SEHEMU YA 01. Hali ilibadilika! Waraka wa ushauri wa utafiti uliofanywa na Jackson ulipelekea raia wengi waishi kwa shida. Hasa walioshupalia...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
NYEMO CHILONGANI. UTAJIRI WENYE UCHUNGU. Sehemu ya Kwanza. “All people who live at the beach have to leave immediately because tsunami will come. Once you hear this announcement, tell your...
15 Reactions
281 Replies
44K Views
Nimekuwa nikiangalia mechi za mpira wa miguu za tanzania kupitia king'amuzi cha azam kwenye Smat TV. Niliangalia mechia ya yanga na simba ya tarehe 12 July 2020 na mechi ya Yanga na Singida ya...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Kufaidi keki iliyoko kwenye tasnia ya burudani, Music video ni uma mzuri, ukiutumia kibunifu unaweza ukachoma mapande yenye faida. Kwanini? Music video producers wapo wachache? Hapana bali wengi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Salama wakuu, Nina aibu sana, pia mazingira niliyokulia hamna mambo hayo kabisa. Hapa ninatarajia kufunga ndoa mwezi ujao na kama mnavyojua mambo ya kuingia ukumbini na mengineyo kwenye shughuli...
3 Reactions
127 Replies
12K Views
Katika uzi huu, nitakuwa naweka link za moja kwa moja za kupakua sinema kali kabisa (compressed za 300MB tu!) zilizowahi kutokea, utaweza kuzipakua na kuziangalia moja kwa moja kwenye simu au...
12 Reactions
87 Replies
11K Views
Habari. Hivi kuna mtu mwingine anaona movies na series za kihindi ni ujinga tu? Huwa nashangaa hivi hawa watu hawana akili au wanafanya tu makusudi kuigiza mambo ambayo ni ya kijinga hayana...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Wasanii waandishi hunufaika na nini hasa baada ya kumfanyia kazi msanii mwenzao? Yaani kwa mfano Nandy kaandikiwa na Jay Melody, Aslay na wengine huko, je hawa waandishi hunufaika nini na na kazi...
0 Reactions
0 Replies
561 Views
Nina likizo ya kama siku 21, sasa nina kajisenti hapa ka kula burudani kwa muda huu wa likizo kisha nirudi kuendelea kutumika kwa mwajiri. Kwanza mimi situmii aina yoyote ya kilevi ila nina...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Lisemwalo lipo na Kama halipo, litakuwa njiani Lina kuja. Huu usemi umedhihirishwa na chuma Cha pua Africa DIAMOND the G. O. A. T, kwa kuwagaragaza Wizkid, Davido na Burnaboy kwa mapato YouTube...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
Iliimbwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 kwenye TV, ilikua inaimbwa hivi, "Superstar superstar, superstar wa bongo, superstar superstar kuwa na usongo".
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mambo vipi mabibi na mabwana? Natumaini uko poa na unaendelea na mitikasi ya maisha vile ambavyo umejaliwa. Ebana siku ya Jumapili ya tarehe 12 mwezi Julai 2020 ilikuwa ni siku kubwa sana kwenye...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanabodi habari zenu ,unakumbuka nini ,ulikuwa unajisikiaje ,ulikuwa wapi tulipokuwa na chombo kimoja cha kupasha habari Tanzania ,Radio na TV ambayo ilikuwa RADIO TANZANIA DAR ES SALAAM (RTD) na...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom