Sorry,
Ni maoni yangu binafsi. Huu wimbo walioutoa rayvanny na diamond wakuitwa amaboko it's very ordinary song na Kwa wale wanaofahamu mambo ya midundo (beats) watakubaliana nami kwamba huu...
Kumekucha ,Leo nakuja na mtazamo wa kuwashindanisha hawa wadada wawili wasanii wa nyimbo na kutaka kujua yupi mi bora katika tasnia ya uimbaji Nandy na Vanessa Mdee.
Niende moja kwa mmoja...
hello JF,
Napenda kujua hao kwenye video wanaocheza nimeona video nyingi wakicheza kama hivyo… swali ni kitu unachoweza kujifunza(learning) ama ni kitu unazaliwa nacho? (genetic)?? heheheeeheheheh
Nimeamini wabongo wanajua kutengeneza Kiki. Mwanzoni tuliaminishwa kabisa kwamba Mawenge na Unju wapo kwenye beef Kali kumbe hamna lolote na check sasa wanakuja kukutana kwenye ngoma yao na Wana...
Habari za Mida hii Wapendwa Katika Bwana, Natumaini Hamjambo
Wakuu Naomba kujua hizo Movie pendwa nilizozitaja hapo juu, Zina uzuri kiasi gani?
Kama mmoja wapo ama wewe ushaziona uniambie kama...
Nilikuwa nam-zoom The Legend. Undertaker ghafla nikapata Idea ya kufanya kitu..
Wajuba..
Mnaonaje tukiji- organize watu km 5 na kuendelea ila wasizd10 tukaifanyia maajabu ile Instrumental ya...
√SERIES
TYRANT -S02 cont.
TEEN WOLF -S05 cont.
STRIKE BACK -S5 Finale
DOMINION -S2 cont.
UNDER THE DOME -S03 cont.
EMPIRE -S02 23 sept. 2015
√MOVIES
TERMINATOR THE GENISISY
AVENGERS...
Kulikua kuna uzi wa nyimbo za zamani za Bongo Fleva. Kama kuna mtu anaweza ni quote nitashukuru.
Natafuta nyimbo hizi hapa
1. Nuruchiko- Kumfukuza mpenzi eti kisa binti
2. P funky ft Dully Sykes-...
Miongoni mwa ujio niliokuwa nikiusubiri kwa muda mrefu ni ujio wa mfalme Mzee Yusuph na malkia Leyla Rashid maana tangu wakae mbali na muziki wa taarabu , muziki huo uliyumba na kupoteza radha kwa...
Wakatia Anaanza alikuwa vizuri, lakini naona sasa toka atoe aya naona ndo vile vile nyimbo zinazofata ni kulalamika kama kwenye Aya, Marioo badilika tunataka sasa utoke nje ya East Africa Nenda...
Wadau hebu huu uzi tukumbushane bendi na nyimbo za zamani
mimi.naanza na.Ngarula karubandika usimchezee chatu.kata.maji ukweni hizi maquise de zaire
Mesenja kaleta balaa hii bima lee...
Habari wapendwa? Natumaini Wazima wa Afya.
Twende kwenye hoja yetu, ni hivi: Jumapili kulikuwa na Tamasha la kwaya mbalimbali Lengo ni Kumshukuru MUNGU, Sasa kwenye mida kama ya Usiku hivi...
Mtoto wa Baba Paroko : SEHEMU YA KWANZA
Erick Amuona Lucia Kwa Mara Ya kwanza
“Amani ya Kristu iwe nawe” “Iwe nawe pia” walikuwa ni Eric na Lucia wakipeana mikono ya amani katikati ya ibada ya...
When I was a Gospel Singer in 2014 I delivered an Albam "Agano Jipya" with my former name "Mwl. Deo Kisandu". Now I become aware that Jesus Christ is not God and I introduced new religion(ANGELISH...
KUHUSU MOYO WAKO
BY: Mfalme Hadithi
Moyo huwa unadunda kwa nyendo tofauti kwa hali tofauti tofauti (different Apparitional)
Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti.
(1) UKIWA NA...
CHAGUO LA MOYO WANGU 18+ - 01
Ilikua ni asubuhi siku ya jumatatu ambapo watu mbalimbali walikua wakiendelea na mihangaiko yao ya kila siku ili kujitafutia riziki katika mji mdogo wa zingawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.