Alicheza Riama Ally kama binti aliependwa na tajiri mmoja ila alifanyiwa mitego na tajiri huyo kuona kama ni mwaminifu akategwa kijana amfatilie kumtaka kimapenzi
Jamani inaitweje hio movie?
Ni hatua kubwa sana anayoionyesha kijana wetu Diamond Platnumz bila shaka anastahili pongezi sana kwa bidii yake katika kazi.
Inadhihirishwa na ukubwa wa ngoma yake aliyoshirikishwa ya Yope sasa...
Aisee hii battle naona Kabisa imetangazwa official.
Kama shabiki wa mziki njoo useme katika nyimbo zao za Diss umependa ipi ?
Na utoe Comments wapi ni wakali ?
Mahaba yangu kwa kikosi kazi na P...
Karibu tena katika uwanja mwingine wa maandiko ya Kudo na sasa ni Riwaya mbili ndani ya uzi mmoja
Riwaya:operation jicho la paka
Riwaya:Dakika za mwisho(with wolf rules)
Karibuni
Nilikuwa nafuatilia hapa kikao cha CCM Dodoma.
Polepole alipotambulisha burdani kabla ya Mwenyekiti wa CCM kusimama, ndipo nikajua kuwa King na Diamond mwenye thamani ni Diamond maana hata...
Leo akiingia kuchangia 'kiuchambuzi', mchambuzi Oscar Oscar alianza kwa kutoa kicheko cha 'kinafiki' kisha akahoji, je madeni yameshalipwa? Watangazaji wenzake wote studioni wakaanza kuangua...
Guys naomba leo tuondoe utata kuhusu hizi show mbili ni show gan Kali kwa sasa Tanzania maana kila nikiwasikiliza wote wanapondeana.
Je, nani mkweli kwenu?
1. Bongo Record =P Funk
2. MJ = Marco Chalk
3. Ban Record = Sheddy Clever
4. Kili Record = Rash Don
5. Tongwe Record = Bin Laden
6. Touch Sound = T touch
7. Tuddy Thomas
8. Wasafi Record = Diamond...
Nimekuwa nikifuatilia sana nyimbo zote za Wasafi na wasanii wengine wanazoimbia CCM na Magufuli hata ziwe nzuri vipi huwa hazifiki number one trending on YouTube.
Ikumbukwe kuwa kila wimbo wa...
Habari wana JF,
Habari kwenu watazamaji na mashabiki wa ulimwengu wa movies.
Ebu tuambiane na tufahamishane Movie kali zilizowahi kutikisa na kuteka ulimwengu wa movie. Unakaribishwa kujazia ili...
Tumefikia makubaliano leo jijini Mwanza na Producer Mr.Haruna Paul a.k.a H-PAUL ambapo tayari tumeanza Production kwa Track zote zitakazo kuwa katika Lugha ya Kiingereza.
Zaidi tumeangalia katika...
Habari wana jamvi,
Hivi kasi walio nayo sasa hivi wasanii kwa kuimba nyimbo za CCM na zote zikiwarushia wapinzani madongo makali na Kuwasifia CCM. Mfano imetokea CHADEMA wakachukua nchi sijui...
Baada ya Dozen kuhama Clouds FM, Leo XXL wamemfanyia mahojiano Nikki mbishi kuhusu bifu yake na Wakazi pamoja na kuhusu diss track ya P Mawenge, baada ya mahojiano wakawaunganisha live kupitia...
1. Wherever You Are By (Jay Z)
2. Forever Young By (Jay Z)
3. Bonnie & Clyde By (Jay Z)
4. Run This Town By (Jay Z)
5. My Life By (The Game)
6. Life Goes On By (2pac)
7. I Roll Up By (Wiz...
Anayemjua please atujulishe ni nani hyu mwamba anayecharaza bati kwenye huu wimbo wa hayati Lucky Dube Back To My Roots. Yani ni sheeda; anapiga ngoma vibaya sana. Huyu ni nouma dah yani sheeedah
Siku hizi ukifanya interview kali ni promo si tu kwa msanii bali na media pia.
Tumeona mifano mingi interview zikiinua vituo vya redio Kama Lil Ommy, Millard Ayo wakivikuza vituo vyao vya kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.