Alikiba alishawai kusema yeye ndiye aliyetoa ruhusa Diamond kurekodi kwa Bob Junior katika studio za Sharobaro Record
Wakati Diamond anaomba nafasi kwenye studio za Sharobaro record kwa Bob...
Ameandika alfajiri ya leo kwamba ameamua kufanya hivyo bila ubaya wowote na kwa hiari yake.
Kuishi na kulea vijana kama hawa yataka moyo sana.
=============
Naitwa Rasheed almaarufu kama cheed...
Hivi ni kitu gani ambacho kinakwamisha Album za Tanzania kushindwa kufanya vizuri sokoni. kama zikifanikiwa kidogo sio WorldWide.
Juzi tu African Giant ya Burna Boy imefikisha Streams Million 200...
Leo nitakuwa natoa maana/ufafanuzi kwa mtu yoyote yule ambaye kwa sababu moja au nyingine hakuweza kuulewa baadhi ya mstari kwenye ngoma yoyote ile ya hiphop kwa hapa Bongo.
Usiporidhika nakupa...
Naomba nisiwe Mnafiki YouTube sio kipimo cha muziki Mzuri.
Naona watu kila siku wanalilia views kuliko kurequest ngoma kweny TV na radio .
Nyimbo ikifanikiwa kupenya kwenye radio za bongo na nje...
Hivi hii movie ishaonyeshwa Bongo? Maana naskia Movie theaher zote Tz zimefungwa! Mwe na ilivyo nzuri,
nani ameiona?
mahondaw Smart911 Bujibuji 50thebe lara 1
Wakuu hii covid 19 imetufanya tutulie majumba na ni muda mzuri wa kuenjoy movies na series
Naomba utaje movie yako moja tu unayodhani ni bora kabisa kuliko zote ulizoangalia
Halikadhalika taja na...
Naomba mwenye wimbo was pasada ambao TID aliimba akiuta Asha
Ninashida na huo ulioimbwa na PASADA ama jina la wimbo, maana nimejaribu Ku google siupati napata maelezo tu labda technolojia 2007...
Contagion is a 2011 American thriller film directed by Steven Soderbergh. Its ensemble cast includes Marion Cotillard, Matt Damon, Laurence Fishburne, Jude Law, Gwyneth Paltrow, Kate Winslet...
Habari zenu?
Ni ghafla tu leo ndio nimegundua hiki kipindi kilichokuwa hewani kuanzia Jumatatu hadi Ijumaa kuanzia saa 2 usiku hadi saa 5 usiku, hakipo kwa sasa pale Wasafi FM huku kukiwa hakuna...
Me kiufupi ni shabiki wa nyimbo fulani hivi kama wanazoimba Sauti solo
Toka muda nawafatili jamaa ila sasa naona hii ngoma imekuwa bonge la wimbo
Kiufupi jamaa wanaprove wanajua wasanii wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.