Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Leo katika kukaa quarantine hapa hope nkiwa nmefungulia channel ya ETV ya bwana Majizzo, nimeshuhudia ngoma za harmonize TZ zikipigwa kila muda. Je, ni support ya Majizzo tu kwa Harmo au ni Konde...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
KIDOKEZO Ni nani hasa anayewaua viongozi wa wapigania uhuru? Kwa nini viongozi hawa wameuawa wengi zaidi Kinshasa kuliko mahali pengine popote katika Afrika? Je, hatua gani zichukuliwe ili...
35 Reactions
922 Replies
280K Views
Mmetupumzisha na ile miziki yetu ya ngono! Nimefurahi sana kusikia mnapiga nyimbo za wasanii wengine wa zamani kama TMK, lady JD n.k Zile nyimbo za sijui nilikagusa kakalegea, nimelowa tepe tepe...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
My Take: Nimeusikiliza wimbo mpya wa Ali Kiba, ukweli nimesikitika sana. Sikutegemea kama mwaka mzima aliokaa kimya msanii kama Kiba anaweza kutoa wimbo wa kiwango duni kama huu.
21 Reactions
1K Replies
221K Views
Wakuu hii movie ya kivita ambayo star mwanzoni alimkamata nyoka na kunywa sumu yake kwenye glasi, ninaitafuta mno lakini sijawahi hatakuiona kila nikigoogle. Tafadhali mwenye taarifa za movie hii...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Katika kipindi hiki cha korona mikusanyiko hairuhusiwi, vilevile show nazo haziruhusiwi. Tukiachana na Diamond Platnumz ambae hata asipopiga show anapiga pesa kwa Wasafi Media, YouTube views...
0 Reactions
3 Replies
986 Views
Karibu katika Simulizi Mwanzo - Mwisho ya PENDO HURU. Nafasi ya Mapenzi ya kweli katika jamii, Nafasi ya wazazi katika mapenzi ya watoto. Mioyo migumu iliyobeba siri zinazo angamiza nchi...
7 Reactions
118 Replies
14K Views
Habarini wakuu. Leo mida ya saa nne kasoro katika kipindi cha Power Breakfast Kasoro Clouds imepiga rasmi wimbo wa Komando Jide Joto Hasira. Kipindi hicho kilichoongozwa na Gardner Habash...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kipindi cha vichekesho chenye ubunifu wa aina yake na mimi nimiongoni mwa fan wa kipindi hiki Cha Jambo na Vijambo ambacho hapo awali kilikuwa kikirushwa na East Africa TV na kilikaa muda mrefu...
1 Reactions
46 Replies
9K Views
Jana Alikiba alikua Live kwenye kipindi cha Homa Tve akitoa burudani kwa wapenzi wa Mziki mzuri, Pia alipata nafasi ya kumtambulisha msanii wake mpya Tommy kwa mshitukizo wa ngoma yao Mpya kabisa...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Niaje wakuu Hivi huyu King Kiba anakwama wapi aisee? Yaani ile nyimbo yake mpya imepooza kajibweteka tuu yaani haifikii hata level ya nyimbo ya Femi one na Mejja. Yaani King Kiba mpaka Wakenya...
2 Reactions
205 Replies
25K Views
Album imetoka Machi 20,2020 ina nyimbo 17 nadhani.Bonge la album jina ni After hours.Ukiangalia video zake za hii album kama kuna short movie flani. Inasemekana imekuwa inspired na movie kama...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Ina maana mpaka leo hii ngoma bado ni no moja on YouTube trending asee. Pamoja na kupondwa kote huku hii ngoma, kwamba ni mbaya ila bado inatamba kiasu hiki mpaka leo. Najiuliza sasa wanaoifanya...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
RIWAYA: MAUAJI YA KASISI MTUNZI: richard MWAMBE WHATSAPP: +255 766 974865 UTANGULIZI MAUAJI YA KASISI © Richard Richard Mwambe Ni kizaazaa katika jiji la Nairobi, Kasisi wa kanisa katoliki anauawa...
2 Reactions
18 Replies
7K Views
Ni mwanajeshi kamili,tena tegemezi kwenye idara ya usalama..ni kijana mdogo mwenye kipaji cha ajabu pengine kuliko wote chini ya jeshi la india..amepikwa kwenye kujilinda akaiva.. ..Kipaji...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Katika mabadiliko ya vipindi jana Clouds TV walikuwa wanakitambulisha kipindi kipya cha Wakongwe wa fani, na jana ilikuwa zamu ya Inspector Haroon na Juma Nature. Kwa waliotazama jana naomba...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jikoni Melvine
0 Reactions
3 Replies
663 Views
Leo nipo safarini basi nililopanda limefanya nifungue huu uzi. Kiukweli inafikia mahali safari inakua mbaya kutokana na hizi burudani zinazotolewa kwenye mabasi. Yani miziki inayopigwa haina...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Mwaka huu kulikuua na muvi nyingi nzuri zinatarajiwa kutoka hasa miezi ya mwanzoni then shit happened..Corona. Kwa wapenzi wa filamu tatakutana hapa kujuzana athari za Corona Viruses kwenye...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom