Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Waambie na mwenzio hii si yakukosa kwa Wapenzi Wa Burudani.. Sapot Mziki Wa Tanzania Pia Endelea kuangalia OMUKWANO na DODO
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Msanii mkali wa miondoko ya RnB nchini, Banana Zoro anaongea na Babuu wa Kitaa muda huu kupitia Safari Lager Kizibo Challenge. Mfuatilie hapa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mmewahi kuusikia wimbo wa Chid Benz uliojaa matusi yasiyoandikika kama nat..ba mademu kibao nk nk! halafu kila baada ya mstari anamalizia na neno kum...ko! chid hii si sawa pamoja na studio...
0 Reactions
31 Replies
18K Views
YOU KNOW THE TASTE EEEH!? haya sasa Music and fashion combined INAKUAJE? ok haha! Unaeza ita BEST COMBINATION ipo hapa.. [emoji92][emoji440] Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Solo Thang salute kwako brother. Hii Nyimbo nilikuwa nikiisikiliza napata hofu kweli kipindi hiko nipo darasa la 6E Alichokiimba ndio Corona Virus inavyotufanya Sasa. Sent using Jamii Forums...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Habarini za kazi wadau,,,,,,????? Jamani mimi ni mpenzi sana wa movie za kutisha na inafikia wakati cpendi filamu ambazo hazina maudhui ya kutisha. Baadhi ya filamu ambazo binafsi nimewahi...
5 Reactions
273 Replies
38K Views
A Boy From Tandale Kwa miaka miwili Stream 5.48 Afro East Ndani ya Mwezi Mmoja Stream 5.01 Ni kwamba yale Marobot ya Youtube uku uwa hayapenyi au Album ya Diamond ilikua Mbovu,? Ya konde Boy ni...
1 Reactions
27 Replies
5K Views
Nimesikitishwa sana na maneno ya matusi dhidi ya BSS yaliyotolewa na kijana aliyeonekana yuko humble sana na kumbe hayuko hivyo. Hamis bado una safari ndefu ambayo ndio kwanza ulikuwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wale wazee wa kuponda walioanzisha Kampeni ya kuuponda wimbo wa Dodo Mko wapi, Leo ni Siku ya 12 Namba 1 Trending, Views 3.3m Pamoja na Promo aliyopewa Zuchu Ndani na nje ya Nchi, Team WCB, WCB...
9 Reactions
76 Replies
7K Views
likipatikana jibu la hii challenge nitaleta nyingine lets have some fun Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa wale tuliosikiliza audio kabla ya Video tutakubaliana kuna mabadiliko. Ilivyo ni kwamba, audio ilikuwa inamaliziwa mwishoni kabisa na Nay Wa Mitego ndiyo goma linaisha. Sasa picha...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau mada hapo juu yaeleweka. Siza, Masoud(KP) na Babra hawasikiki Clouds FM Power Breakfast. Badala yao wapo watukutu watatu. Wawili wanatoka XXL ambao ni Adam Mchomvu na Sinyorita aka Sesenyor...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Wale mnaomkubali kinyama Vin Disel kaja na BLOODSHOT. Movie kali ya action 2020 Pakua Bure Hapa ShrinkMe.io
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani kwenye zile filamu zetu za zamani waswahili tilizoea kuziita MIKANDA, mimi nakumbuka kuna manyang'au ambao walijua kuvaa uhusika aisee. Yani watoto mekaa sebuleni mnamtungia kila jambazi...
19 Reactions
354 Replies
66K Views
wale wazee wa Action na Crime Searies icheki hii utaipenda... pakua bure kwa hii link... Ziko HD na Highly Compressed unatumia bundle kidogo Hunters Free Download Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je Spurs anaweza kutoa ubingwa msimu ujao? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
497 Views
Kuna swali hpa Kuna wimbo siujui jina,wala maneno wanayotamka,labda kuimba kwa mluzi naweza!! Je kuna apps inaweza kuutambua kama nikiimba kwa mluzi!!! Shazam na soundboth zimechemka!! Au kama...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Naangalia clouds apa kipindi cha ala za roho ambapo watangazaji ni Meenah ally jose mara na Dr Izack Tangu asubui naona vipindi vyoye vipo tofauti... vipindi vyote vimebadililshiwa watangazaji kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nimechoka sana na nasikia aibu jumlisha wivu , kuangalia filamu za wenzetu zikiendelea kukosha nyoyo zetu hasa kipindi hiki cha Mzee barakoa. Inabidi watu waibuke wasapoti kazi za sanaa yetu kama...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Back
Top Bottom