Habari za mda wana jamvi, natumai mapambano dhidi ya mvamivi Corona yanaendelea tena kwa ufasaha mkubwa .
Leo baada ya kuperuzi playlist yangu nimeibuka na ngoma ya mnyamwezi Breezy , inayoitwa...
Patricia Hillary nakukumbuka kwa wimbo huu. Hauchuji leo wala kesho ni classic sana
Chakushangaza niliambiwa wimbo huu Patricia aliutunga akiwa Tukuyu Kiwira magereza kwa wanyakyusa huko Mbeya...
1. Sean Paul ft Kelly Rowland - How Deep is your love
2. Rick Ross ft Drake & Chrissete Michelle - Aston Martin Music
3. Rihanna - Man Down
4. Chris Brown - Back to sleep
5. Kranium ft...
IMEANDIKWA NA : HUSSEIN ISSA TUWA
*********************************************************************************
Simulizi : Bondia
Sehemu Ya Kwanza (1)
Lango kuu la gereza la Ukonga jijini...
Kwanza kabisa niwapongeze kwa kazi nzuri na jitihada mnazozifanya kuhakikisha ulimwengu wa burudani unakua kwa kiwango cha 5G. Studio zenu kiukweli ni studio kali ambazo nilishawai kuziona hapa...
Habari wadau,
Napenda kuwapongeza Clouds TV - State of Arts - Kwisa kwa kuanzisha kipindi chenye mikasa ya kutisha ambayo ni ya kweli iliyowatokea watu.
Episode ya kwanza ilikuwa jamaa(bodaboda)...
Musiq Soulchild - Say I Do
.
Taylor Swift - Superstar
.
Michael Bolton - I Promise
.
Maroon5 ft Gwen Stephen - My Heart is Open
.
One Direction - Ready to Run
.
One Direction - Story of My Life...
Leo katika pekua pekua kwenye kumbukumbu zangu, nikakutana na karatasi, nilikua nimeandika majina ya wanamuziki ambao nikua na kanda zao, (Tap) Nikaona ni share na member wenzangu hapa, nadhani...
Katika series nilizoangalia na kuinjoy hii inaingia katika list ikiongozwa na baba la series PRISON BREAK.
Kwenye character wa hii series niliyemkubali ni mtu mzima DENVER hasa lile cheko lake...
Mimi nitaangalia movie categories zote ila category ya Science Fiction (Sci-Fi) inanipa tabu sana kuangalia movie zake. Nilianza kuangalia movie za Sci-Fi za Spider-Man, miaka hiyo Spider-Man ni...
FUMBO (01)
PUA za Leila ziliipokea harufu ya manukato iliyopozwa na kiyoyozi, mara baada ya kufungua mlango na kuingia ofisini. Chini, sakafu ilifichwa na zulia la sufi. Juu, taa zenye rangi...
SEHEMU YA 1
Sitausahau mwaka 1978. Nina sababu tatu za kutousahau mwaka huo. Sababu ya kwanza ni kuwa kulitokea vita vya Kagera. Majeshi ya Iddi Amin aliyekuwa Rais wa Uganda yalivamia nchi yetu...
Hili swala huwa linanisumbua sana, hivi bongo movie walikosea wapi mpaka hawa wakorea wameteka soko.
Kuanzia Nyumbani, kwenye usafiri, vibanda umiza kote ni Korean drama. Popote kwenye Tv na deki...
Wizkid ft Chris Brown__African Bad Gyal.
Wizkid ft Drake_Come Closer.
Wizkid ft Ty Dolla Sign__One For Me.
Wizkid Ft Ty Dolla Sign__Dirt Wine
Wizkid ft Major Lazer__Naughty Ride
Wizkid ft...
" Sasa hivi kumbi na baa zimefungwa hatupigi muziki kwa sababu ya Corona, nimewasaidia kuwalipa mshahara wanamuziki wangu kwa mwezi mmoja na mimi nimeishiwa nina wasanii zaidi ya 40, wengine...
Katika kibao chake kiitwacho Baba Lao, nyota wa muziki anayepeperusha vyema bendera ya Tanzania Diamond Platnumz ameimba maneno haya katika moja ya verses kwenye wimbo huo
"Eeeh! Tumewachapa...
Nimewawekea video hapa chin, toa maoni yako, inapendeza wagonjwa wana afya nzuri kabisa.. [emoji116][emoji116][emoji116]
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.