Mambo vipi wakuu? Mara baada ya kupitia lile group letu la series kiukweli nimeona nihitimishe kwenye huu uzi wangu.
Series nilizoangalia mpaka sasa na kuzipa nyota 5, ambazo pia nakushaur...
Siku hizi imekuwa kero kuzisikiliza baadhi ya nyimbo nyingi za muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania kwani nyimbo hizi zimejaa mashairi yaliyobeba maudhui yenye matusi. Mbaya zaidi nyimbo hizi...
Habari za sasa wakuu..
Hivi nyimbo za hip hop ni lazima ziwe na punchlines Mimi kwa mtazamo wangu naona ni lazima kuwepo na hizo Punch lines. Ili zinoge na kuleta flavour halisi ya kihiphop...
Usipokua na hela, kupendwa usahau
Mapenzi yatakukera, utaambulia dharau
Kisa huna mshahara, mapenzi yanakuwa jau
Ukiwa mzuri wa sura, hapo kidogo angalau
Sie wenye sura kama chura, tuile tu pilau
Collabo hizi za ndani ya Afrika kama zikitokea ni hatari saana....Ni muziki mzuri..
Diamond Platinumz ft Wizkid.
Simi Ft Wizkid
Vanesa mdee ft Burna Boy
Alikiba ft Davido
Patoranking ft...
Habarini, Muumba aendelee kuwaepusha na korona! amina!
Tumeshasikia sana na tunaendelea kusikia kuhusu 'dodo' huko mtaani na kuanza kulipwa kwa kodi kwa zile kaya maskini 500 huko tandale. hebu...
TVE, mmekonga nyoyo za watazamaji!
Na Mwl Sylvester, George Wambura
Twitter @PGGeorgeJr Instagram @pg_georgejr
+255716109169
georgesylvester35@yahoo.com
Tukiwa bado katika sekeseke la ugonjwa...
Kweli corona imekita, kudanganya haifai.
Dunia yote walia, hata wenye utajiri.
Wenzetu wanapambana, Siye bado hatujali.
Pazuri pakipotea, tuje kumlaumu nani?
Mlioshika madaraka, hivi...
baada ya kumpoteza lyrical and freestyle king ngwair,nmesikia mtu wa karibu anaeitwa mswaki akisema alikua anamsubir arud toka south watoe ngoma.Sasa nawahamasisha wasanii wa muziki aina zote...
Uzi huu kwa ajili ya kutaja character wa movie yoyote ile aliekuwa anafanya mauaji! Bila kosa lolote, yani yeye anamvizia mmoja mmoja anaua!
Mimi naanza kuna Jason yeye movie zake ni za Friday...
Series zenye scene za mapenzi kama Spartacus, Banshee, Game of thrones na nyingine nyingi zenye mfanano na hizo ni series zilizobeba uhalisia kulinganishwa na zile nyingine ambazo hazina scene za...
…Natumaini ni wazima wa afya. Habari zenu, ni vipindi gani vinakuvutia clouds fm pia tv, presenter gani bora pale mawingu. vitu gani wanavifanya mpaka redio kupendwa sana na vijana, redio zengine...
Guys hivi ni nyimbo gani kaliii za taratibu ambazo zinafaa kusikiliza hasa mida ya usiku..Ngoma laini zile zilizoimbwa kwa hisia kali.
Mfano.
Ed Sheeran_Thinking out loud
Ed Sheeran_Perfect...
Tumeshazoea kuwaona wanamuziki mbali mbali wa Gospel wakimwimbia na kumtukuza Mungu, ila kwa mwanamama kutoka ireland , Enya Patricia Brennan aliyezaliwa mnamo 17 May 1961 , kwake ni tofauti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.