Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wakuuu hawa jamaa wameachia nyimbo yao mpya inaitwa kaka tuchati aisee ni bonge moja la ubunifu wanastahili pongezi gusa link hapo chini ukaicheki Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
3K Views
“Mke wangu!” “Abee mume wangu!” “Jiandae leo nikitoka kazini nataka tutoke ‘out’!” “Mh! Hata sijisikii kutoka leo mume wangu.” “Kwa nini tena jamani?” “Basi tu! Sijisikii kutoka!” “Kwani yale ya...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Huyu mkali wa malovedavi kati miaka ya 2006/7 yu wapi make ngoma zake hadi leo hii ukizisikiliza bado ni za moto haswa japo hatumskii wala kumuona mitandaoni. Je, ndio kusema Tip-top connection...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hii ni tamthiliya ya kitanzania ikiwa na masuparstars kibao wa bongo movie inayooneshwa na DStv katika channel ya Maisha bongo ki ukweli ni nzur Sana kwenye hili na wasifia bongo movie na...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanamama Tshala Muana, mmoja kati ya wanamuziki nguli na nguzo muhimu kwa muziki wa rhumba barani Afrika. Jina lake halisi ni Elizabeth Tshala Amedeus...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu Ni mdau wa hip hop na ninapata shida sana kwa kutokuwa nimesikiliza nyimbo za dr Unju, baba malcom, zohani, mzee wa kudisi Nikki mbishi tangu alipoiachia project yake ya Sam magoli...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Mwenye huu wimbo naomba anitumie naupenda Sana, hapa nimefanya kuunga vipande tu ili niupate wimbo kamili. Vipande vyenyewe nilirecodi kwenyeTBC siku ya muungano mwaka 2014 na 2015 walipiga...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mademu wanene wazuri ..wanatamanisha moyoni. Mwendo wao wakinguli ..wananikosha rohoni. Wamefungasha Kama roli..nanyuma wamesheheni. Watam Kama mtori..asie jua ni nan? Ila kitandani wapo tuli...
0 Reactions
37 Replies
7K Views
SEHEMU YA KWANZA.......01 BASED ON SOMEONE’S TRUE STORY (simulizi ya mtu yenye uhalisia ndani yake) simu: 0684024387 na TUMAINI ERNEST STANSLAUS June 1, 2019. “Maskini Happy!!!!!, looh...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
SHAIRI:NANI KAMA MAMA. MTUNZI:MSANII JOTO LA MOTO. Mama hutunza uhai, kiumbe kuwasilisha. Tisa miezi tumboni, unayaanza maisha. Bila mama hatujai, duniani tutakwisha. Yupo nani kama Mama, katika...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Wasalam wakubwa. Mimi ni mpenzi wa simulizi lakini nimekua napata uvivu kuziona katika jukwaa hili na kushindwa kugundua ni ipi stori maridhawa. Naomba waliowah kusoma na zikawaacha mdomo wazi...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
SIMULIZI FUPI: MWALIMU WA ZAMU MTUNZI: XAVERY LUOGA *AUTHOR XAV* Namba: 0672493994 ================================== ********* Simulizi hii ni mwanga kwa kuendeleza Imani ya kumwabudu mungu...
1 Reactions
24 Replies
17K Views
Wakuu salaam Unajua nimekuwa nikijiuliza hivi ni nani aliyesema msanii ni kioo cha jamii? au kuna maana gani unaposema msanii ni kioo cha jamii? au ni wakati gani msanii anakuwa ni kioo cha...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
MWANDISHI: ALLY AYUBU KATALAMBULA GIZA nene na mvua kubwa iliyoambatana na upepo, haikumzuia wala kumpa rapsha kiumbe mmoja, mwanadamu, aliyekuwa amelala kifudifudi, ametulia tuli kwenye tawi la...
3 Reactions
16 Replies
4K Views
Hii ni kwa wale wapenzi wa Series movies. Netflix wanakuja na series kali inayokwenda kwa jina la Queen Sono ------------------------------- Queen Sono is a South African crime drama web...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Inapatikana kwenye Digital platform Zote Karibu sapot wasanii wa Tanzania tasnia yetu isonge mbele.. Msanii kutoka Konde Gand "Ibrah" anakuja na EP yake - JamiiForums Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
I hope everyone is fine.. Ngoja niende mmoja kwa mmoja kwenye mada. Kuna wakati unakuwa katika hali fulani ngumu. Pengine katika maisha, mahusiano au situation zingine tu, halafu kwenye nyakati...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Linapokuja suala la kupenda aina muziki inashangaza kidogo. Kuna ambao ikipigwa reggae watatikisa kichwa we mpaka utahisi ni vichaa, wengine ikipigwa singeli ndio wanavua hadi chupi na kanga...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Unaweza kuta list ya movie 200 tatizo ikaja hujui movie hii itakupendeza nk. Naku-recomand uangalie movie hizi kadhaa, unaweza enjoy kidogo. 1)TRIPLE FRONT Hii inahusu washkaji walikuwa wazee wa...
5 Reactions
76 Replies
10K Views
Back
Top Bottom