Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
poleni na pilika pilika za hapa na pale,Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kwa kwenye nyimbo hizo za KINYAMWEZI kutoka kwa muimbaji MWINAMILA kutoka tabora, nawasilisha Msaada it afadhali.
0 Reactions
3 Replies
15K Views
StarBoy Wizkid__Joro vs Davido__Risky Kama umewahi kusikiliza hizi mbili ipi kali zaidi kwa upande wako?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kama Kuna mtu ana nyimbo ya usione Soo ya mwaka 2004 ambayo Ina wakina stara Thomas, solo thang, banana zoro, na Mr paul
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari wanajambo, mimi ni mpenzi kiasi wa kuangalia movie lakini kutokana na majukumu ya hapa na pale sikuwa na muda wa kuangalia. Kipindi hiki ni cha kukaa nyumbani kutokana na hali halisi ya...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
Kama wewe ni mpenzi wa filamu basi lazima utakuwa umewahi kuangalia filamu zilizotengenezwa na kuwapa wahusika wakuu nafasi ya kucheza kama watu wenye uwezo wa juu wa kufikiri Leo tuwaangalie...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Wakuu kwemaaa...leo naweletea top 5 ya mawe mazito yenye miendelezo yakibabee Kuna vyuma hatari sana vilivyopikwa vikapikika na miendelezo yote huwa inasubiriwa kwa hamu sana japo story huwa...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
Hivi ni mimi mwenyewe ninayeona kwamba hii nyimbo ya Ladipoeyou know ft Simi
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BARAKOA YA MARIOO Na, Robert Heriel Hivi ndivyo ilivyokuwa, kama ilivyosemwa na watu wa kale yakuwa shida haina adabu. Ndivyo ilivyotokea kwangu. Haya sasa tulieni niwasimulie, tena mtege...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
1️⃣ "Shape Of You" - Ed Sheeran (2,468 BILLION Streams) 2️⃣ "Rockstar" - Post Malone ft 21 Savage (1,874 BILLION Streams) 3️⃣ "One Dance" - Drake ft Wizkid & Kyla (1,837 BILLION Streams) 4️⃣...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Naona huu uko kama Mbaqanga wa Afrka ya Kusini; je hii ndiyo aina pekee ya Muziki huko Msumbiji?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi huyu jama ni Mwanahabari kitaluma au ni mshereheshaji tu katika sport extral
0 Reactions
11 Replies
3K Views
U.S Marine Ray Garrison anapoamua kwenda mapumzikoni baada ya kumaliza mission ya ukombozi jijini Mombasa. Watu wanaohitaji maelezo ya kijasusi kuhusu mission ile wanakatisha vacation yake na...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
EATV: hawa jamaa hawajapata mtu wakuziba pengo la Sam Misago. Tbway anaogopa kuuliza baadhi ya maswali. Ubishoo mwingi sana. CLOUDS: Hawa jamaa wameona isiwe case wakaona wapige c&p kwa TVE...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Nipe list ya movie za action zenye story nzuri za kuvutia. Nafikiri mmenielewa maana Kuna wengine wana vichwa vigumu ya kuelewa mada.
0 Reactions
20 Replies
9K Views
The first East Africa album trending in Nigeria for two months non stop by @harmonize_tz who recognized as the number one ☝ artist in East Africa right now ,what so special about this album, got...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna Movie nzuri ya kivita alicheza John Rambo inaitwa "First Blood 1 ya mwaka 1982. Movie hii inaanza Rambo akitembea akitokea mbali na kufika kijiji fulani na kuanza mazungumzo na Mama fulani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Humu wameizungumzia Corona, huu ndo tunaita ubunifu. Siyo Habari za bunyero bunyero inama nipachike rungu MASHAIRI Rostam - Kaka Tuchati Lyrics | Afrika Lyrics (Tongwe Records) Oooii naona...
67 Reactions
321 Replies
58K Views
Wasafi media wamekuja na Kampeni ya Kutoa zawadi ya Gari aina ya Altezza Kupitia kipindi cha The Switch Nilichoona ni Kua Lil Ommy kakosa ushawishi Kwenye kipindi Inaonekana kipindi kina...
6 Reactions
23 Replies
4K Views
Wimbo wa Sikiliza wa Ngwair ft Mwana FA na Lady Jay Dee kwangu mimi unabaki katika rekodi zangu kama wimbo bora wa kushirikiana (kolabo) katika historia ya muziki wa Bongofleva. Kwako wewe ni...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom