Leo naomba nijaribu kuwaletea nyimbo 20 bora kabisaa za za mtoto wa mwanamuziki nguli wa zamani mzee mwinjuma aka mc mbondei
Ambazo hazitakuja kukaa kuchuja zingne ni za zamani ila kwa ubora wake...
Habari waungwana.
Kwa wale mnaoikumbuka Diamond Sound, ambapo makao yao makuu yalikuwa Mwenge Pale Silent Inn Club.
Tafadhali kwa Mwenye Nyimbo zao naomba tupia humu,
Nyimbo zao ninazokumbuka ni...
Kipindi kidogo ndani ya kipindi cha PLANET BONGO cha EAST AFRICA RADIO NA TV kinachoongozwa na mtangazaji Abdallah Khamis Wambuwa,
Ambacho kinatambulika kama DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI
Ambapo Rapa...
Unaweza kuangalia concert hii yenye lengo la kukusanya michango kwa ajili ya chakula na mahitaji ya kiafya kwa ajili ya familia zilizoathirika na COVID-19 barani Afrika
Hawa watu wajanja sana, wameachia wimbo wao mpya ambao nina uhakika utatrend sana kwenye mitandao hasa huu mpya Tiktok unaoongoza kwa kuwa downloaded hivi sasa.
Wasanii wengine chukue somo hapo...
Habari za weekend wanajamvi.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,unafkiri ni nani unazani ni best hip hop man kwa hapa Tanzania? Na kwanini??
Binafsi my best ever rapper of Tz ni FID Q.sina...
Harmonize ndio msanii namba moja bongo kwa sasa, ni msanii ambaye ametoa hit kali kuwahi kutokea toka bongo fleva imeumbwa. Yaani kwangaru views milioni 52, bado view laki 3 iipite nana.
Hii...
MZEE WA ACHECHE, CHUKUA NAMBA MOJA
Na, Robert Heriel
Kila mtu duniani hupenda kazi yake ifurahiwe na watu wengine. Hakuna asiyetaka kazi yake isipendwe. Ndoto ya watu wengi duniani ni kuona kazi...
Hellow! Natumai mko poa ndugu na mnaendelea kujikinga dhidi ya Corona. Na mimi katika nafasi yangu, naendelea kuwaletea mambo kadha wa kadha kuhusu filamu kama moja ya njia ha kuhamasishana kukaa...
SCRIPT ZA IMA.
SEHEMU YA KWANZA.
TITLE:FIMBO YA MBALI.
MTUNZI: IMA WA JONI A.K.A MSANII JOTO LA MOTO.
TEL.0788 135 198.
OFISINI KWA RAY-JIONI.
Ray na Hemedi, vijana watanashati, Ray...
Natafuta season ya kifilipino inaitwa darating Ang Umaga au (till morning is come) nimetafuta mtandaoni sijawahi kuipata nifanyaje ili niweze kuiona tena. Iliwahi kuonyeshwa Star tv
Mzee kasema tujiandae kupiga shangwe, basi tujiweke sawa.
Leo nipo na Wasafi Media, kuna machache kati ya mengi siyaelewi tusaidiane kuwaweka sawa.
Kuna mifano michache ya ‘Vipindi’ ama ‘shows’...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.