Mi tangu nimeamka ni hizi
Matatizo..juma nature ft jay dee
Maji ya shingo..daz nundaz
Sema...mr blue
G code...gheto boys
No scrub..tlc
Do you...neyo
Usher..burn
Hate me...nas
Msanii wa filamu nchini, Adam Kuambiana, amefariki dunia ghafla leo hii asubuhi baada ya kuzidiwa akiwa hotelini na kupelekwa kwenye hospitali ya Mama Ngoma. Kwa sasa mwili unanahamishiwa...
Wadau nimeangalia movie ya Alpha ya 2018 kuhusu maisha ya watu wa kale kabla dunia haijastaharabika
Jinsi walivyokuwa wana survive na mazingira magumu
Je unaijua movie yoyote inayohusu watu wa...
Ikiwa ni siku chache tangu filamu mpya ya Jb ya MAHABUSU aliyotengeneza ambaye muigizaji mkubwa katika filamu hiyo akiwa Director, Actor na mzee wa mingi marehemu Adam Kuambina, Jb amejikuta...
Kuna baadhi ya wasanii hasa wa muziki kwa kukosa kufanikiwa aidha kwa kutofuata kitu ambacho soko linataka au kwa kuwa na dharau kwa washika dau wamekuwa wakiishi bila mafanikio ya kupata pesa...
IMEANDIKWA NA:GEORGE IRON MOSENYA
SEHEMU YA 1
IMEANDIKWA NAYE: George Iron Mosenya
SEHEMU YA KWANZA
Maisha wakati mwingine si jitihada pekee zinazoweza
kukutoa sehemu moja kwenda nyingine, kuna...
Ninachompendea Stephen King ni ule uwezo wake wa kuandika visa tetemeshi sana kutokana na wazo la kawaida mno - wazo ambalo mara nyingi watu hawalifikirii mpaka walisome kutoka kwake.
Sasa kwenye...
Vipi mchizi wangu nakuona umesizi, unaonekana kama moyoni una majonzi, au dili zako leo haziendi sawa? jinsi unaonekana kama moyoni umepagawa! niambie ili nielewe, ili na mie nisipagawe, kwani...
Habarini za wakati huu,
Nmekuwa nikicheza Pes for Pc kwa muda mrefu sana lakini je ni kwanini player akiwa HOME anakuwa na nguvu, speed na accuracy sana?
Kuna jamaa nikicheza nae ikiwa yeye...
Mariooo ni miongoni mwa vipaji vipya vyenye potential ya kutosha ndani ya Bongoland, kijana huyo mwenye kipaji cha hali ya juuu aendelee kupasuaa mawimbi ya soko la Bongofleva baaada ya hapo jana...
SIMULIZI; TAMAA ILINIPELEKA KISIWA CHA MAJINI
SEHEMU YA KWANZA
Jina langu naitwa Jackson Abell ni mzaliwa wa
tanga shughuli zangu ni biashara kawaida huwa na
chukua mzigo Zanzibar kwa bei nafuu na...
SCOLASTICA TEMU
MTUNZI: INNOCENT NDASANYE
NAMBA: 0755 040 520
“KWA nini iwe hivi?” msichana huyu mrembo, Scolastica Temu alijikuta akijiuliza swali hilo mara nyingi huku akiwa chumbani peke yake...
Wapenzi wa Hiphop tulitegemea baada ya diss track ya P Mawenge na Unju angekuja na diss track ya kumjibu ila imekuwa tofauti, naona Unju kaachia track yenye maudhui mengine. Sina hakika kama hii...
Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s
Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.