Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kuna mfalme alijaliwa kupata mtoto wa kiume. Yule mtoto alikuwa na afya njema, sura ya kuvutia alivutia hata wageni waliofika kwa mfalme. Mfalme alimpenda yule mtoto kama roho yake. Mtoto yule...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wakuu, Nipo hapa namalizia movie ya contagion ase ,wakuu hii kitu asilimia 98. imeresemble hii hali tunayopitiaa sasaa ya janga la coronaa Wakuu naona wenzetu hukoo...wanatufikisia...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni takriban miaka zaidi ya 60 imepita tangu kupata uhuru. Nyerere, raisi wa kwanza alifanya juhudi kubwa kuuondoa ukabila na kuweka utaifa mbele. Kwa hili alifanikiwa Sana. Katika kipindi hiki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ep Ina Ngoma 5 na Makorabo ya Kimataifa Hapa Ep ya Zuchu Inaenda kufunikwa.. Baada ya Ramadhani Kings Music Nao watadondosha Ep toka kwa Wasanii wao.. Wcb tuliwaacha acha msikike kwa ushindani...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Binafsi toka Tz ipate Uhuru nyimbo nyingi sana nzuri nimezikubali ila kuna nyimbo nasema hakuna itakayotokea nikaipenda kama hiyo (toa suala la kuchuja), nazungumzia nyimbo pale imetoka ipo kwenye...
0 Reactions
3 Replies
864 Views
Kama hujaziona IP Man zote nne fanya kuzitafuta, Humu Don Yean anaonesha umuhimu wa hekima, busara na kupinga uonevu! Jamaa ni very simple guy with nice family, lakini upiganaji wake unaangusha...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
MIKE MARTIN 1958-1996 (1) ILIKUWA ni alfajiri yenye mawingu mazito angani. Kila mtu alijua mvua ingenyesha siku hiyo kwani dalili zote za mvua zilikuwepo angani. Waliokuwa wamelala walizidi...
3 Reactions
35 Replies
15K Views
RIWAYA; MTUHUMIWA MTUNZI; HUSSEIN TUWA SEHEMU YA KWANZA. Daily News, Julai 12 (Imetafsiriwa): Jambazi hatari linalojishughulisha na biashara ya madawa ya kulevya huko Marekani ya Kusini...
7 Reactions
267 Replies
78K Views
Kenya tumejinoa vikali kwenye muziki, wasanii kadhaa wa kadhaa wamejionyesha kuwa hao ndo mastaa wa Afrika Mashariki na ndo hawa: 1: Sautisol 2: Khaligraph Jones 3: Boondocks Gang 4: Otile Brown...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wasafi, Media House iliyokosa ubunifu yakinifu! Na Mwl Sylvester, George Wambura Twitter @PGGeorgeJr Instagram @pg_georgejr +255716109169 georgesylvester35@yahoo.com Ukiiongelea Wafasi Media...
7 Reactions
72 Replies
8K Views
Leo nimewasogezea shortfilm mpya kabisa ya kibogo. HEBU ichek halafu muwape maoni Hawa jamaaa. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
1 Replies
2K Views
K’naan (KEINAN ABDI WARSAME) ni msanii kutoka CANADA na pia ni mzaliwa wa SOMALIA mjini Mogadishu. Watu wengi wanamtambua kwa nyimbo yake maarufu ya waving flag ambayo aliitunga kwaajili ya...
8 Reactions
21 Replies
5K Views
Mwandishi: Erick Shigongo MIKE MARTIN 1958-1996 ILIKUWA ni alfajiri yenye mawingu mazito angani. Kila mtu alijua mvua ingenyesha siku hiyo kwani dalili zote za mvua zilikuwepo angani. Waliokuwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ni lipi jina la nyimbo? Raha Nani anazungumziwa? Mwanamme Tabia gani amebebeshwa mwanamme (katika wimbo huu)? Mwanamme amebebeshwa sifa mbili nzuri na mbaya kwanza amezungumziwa kama ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Completely, wanna give my love, completely I'd rather be alone than be in love just half the way I want to find someone that I can trust, completely Wanna give my heart, completely To someone...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwanza shikamoni wakubwa waliochini ya hapo habari zenu ndugu. Kwa majina naitwa Aman Ibrahim mimi ni msanii na mwandishi pia wa nyimbo. Kiukweli nina kipaji cha muziki japo naelewa kuwa wapo...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Nakupenda ugali dagaa.. sijui Kama unajua. Npo tayar kulala njaa.. Kuliko kula vitumbua. Wew kwangu nishujaa..sitakusaliti kwa kibua. Nikuonapo nitakaa..nashati nitavua. Katu sitakugaa..hata...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale wanazi au wapenzi wa Drama kutoka pande za Korea Kusini nadhani mtakuwa mnafahamu kuhusu Joseon. Taifa lililokuwepo miaka ya 1300 - 1800 k.m. Nimeandaa Drama kali 10 ambazo zinaelezea...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Mke mmoja hatoshi tuache kukariri. Kulisha gari moshi pekee hahimili. Kitumbua kimoja hakichoshi? utamu viwe viwili. Uku ukinyimwa pishi Unaenda kwa wapili Jiko moja haliivishi raha yawe mawili...
0 Reactions
4 Replies
863 Views
Back
Top Bottom