Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kwanza kabisa hiyo a.k.a ya Kardinali mimi ndio nimempa huyu jamaa kwa sababu ana Pengo. Back to my point. One the Incredible has stuck in the 90s. He thinks 2019 is 1994. Yani up to this era...
4 Reactions
74 Replies
8K Views
Huyu jamaa anajua sana, naamini anatakiwa awe mbali zaidi ya hapa alipo, ni moja ya waimbai wa Rhythm and Blues (RnB) wakali sana. Tafuta management inayojielewa, watu kama wakina jux ni wa...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Hivi ingetokea janga hili la Coroca ndo limetokea wakat Kuna BBA.... na South wana Lockdown inamaana wale waliomo ndani si ndo ingekuwa mazima mpaka hali ikae sawa... nafikiri shindano...
0 Reactions
0 Replies
431 Views
Huyu Jamaa anaimba vitu real sana. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za jioni wapenzi wote wa burudani na wana jf kwa ujumla.. Nitaenda moja kwa moja kwenye mada kama heading inavo state Toka mwaka uanze wasanii mbalimbali hapa nchini wametoa nyimbo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda huu? Matumaini yangu ni kwamba mko na afya njema. Kwa waliopata maswaibu Mungu awape nguvu, hata hayo pia yanapita. Straight to the point, leo ninamzungumzia mwanamziki mashuhuri...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Media Imecopy karibu vipindi vyote vya watangulizi wao mpaka maudhui ya vipindi. Jamaa wameiga mpaka Ndondo Cup. Hata matamasha wanafanya kwa mtindo uleule wa watangulizi wao hawana ubunifu...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wakati kukiwa na ushindani mkali kati ya marvel cinematic universe na dc comics kwenye soko la filamu za superheroes hizi ndio movie zangu bora hadi sasa hivi ambazo nimeshaangalia 1.The Dark...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Naomba nieleweshwe vizuri maana sielewi, hivi Fawler aliyekuwa mchezaji wa Liverpool aliitwa Mungu wa Magoli ilikuaje na alicheza mwaka gani? Kwanini walimpa jina hilo na alikua anacheza nafasi...
0 Reactions
2 Replies
838 Views
Takribani miaka 10 na zaidi kijana huyu amekua akikonga nyoyo za mashabiki na amegoma kabisa kushuka. Huyu kijana ana akili sana maana anatumia trick nying sana na figisu za kutosha ili abaki...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kutokana na teaser ilianza kusambaa tangu wiki ilioisha huko kwenye mitandao ya kijamii "FUNDI BORA KWAKO NI NANI" Hatimae leo mida ya saa nane majira ya mchana fumbo litaenda kufumbuliwa, Je ni...
6 Reactions
95 Replies
9K Views
Jana niliangalia movie inaitwa DOSTI ya kihindi. Hii movie imeigizwa mwaka 1964 aisee inatia simanzi ssna
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Lily omy Tusha mleta Chama lawana Mafundi wa Burudani Ndani Ya Nyumba Sasa Bado Sammisago Kamati Ikamilike Tukiwashe Wasafi Hatuna Show mbovu Tumekuja kutibu Homa Ya Burudani Usiwaze kaa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
I wish you all a very happy Valentine's day, and continue to maintain love among us as God has commanded us. Twende moja kwa moja kwenye Topic Jana kupitia page mbalimbali za social medias...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Kwa upande wangu nimeangalia filamu nyingi za kibongo, bahati mbaya nyingi sijaziweka kichwani. Ziko ambazo nimeona Mzimu unapisha magari, ziko ambazo Jambazi anavua viatu na kuvamia ndani 😁😁😁😁😁😁😁...
4 Reactions
53 Replies
8K Views
Which song is favorite to you? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuna baadhi ya wasanii ukisikiliza yimbo zao utagundua hazina maadili ya kumjenga mtu. Wakati mwingine nadiriki kusema wakafanyiwe uchunguzi wa akili; sio wazima. Tunataka nyimbo zenye mafundisho...
1 Reactions
5 Replies
834 Views
Wale team Kik hapa mjini anzeni kukaa vikao ni Kiki gani itayosindikiza hili Dude, sijui mtatangaza kurudiana na Tanasha au Mtatangaza Harmonize kurudi WCB
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Mtikisiko wa Harmonize kujitoa WASAFI haukuwa mdogo japo japo kila upande ulijitahidi ku play low Kuna sababu haziwekwi wazi sana lakini kuna moja ambayo ndio inaweza kuwa chanzo.. Na hii ni pale...
32 Reactions
124 Replies
12K Views
For football and game of throne fans mambo yangelikuwa hivi endapo characters wa series bora ambayo haijawahi tokea na haiji tokea wangerikuwa wachezaji wa mpira wa miguu Vip ni character yupi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom