Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kuna makundi na wasanii wengi wa Bongo fleva walitamba Kama kina Solo thang, O ten, mad ice, zay B, sister P, TMK, bushoke nk. Tukutane Hapa kujadili, kujiliwaza na kukumbushana historia mbali...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Leo kwa Mara ya mwisho nimeangalia last episode ya tamthilia hii kongwe zaidi barani Afrika. Nimeanza kuifuatilia toka nikiwa sina ufahamu wa vitu. Kongole kwa watunzi na timu nzima ya Isidingo ni...
21 Reactions
135 Replies
16K Views
DJ Clever umetugusa sana kutoka hapo studio.. Bongo fleva zenye akili sana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni movie ya horror movie ya aina ya Final destination na nyingine aina ya Saw please.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
MIMI NI MWENYE DHAMBI, NISAMEHE MUNGU 1 MTUNZI: NYEMO CHILONGANI SIMU: 0718 069 269 MAHALI: DAR ES SALAAM INSTAGRAM: nyemochilongani Mwenyekiti wa Chama cha Vijana cha Casfeta (Christian...
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Cowboys family tumeendelea kuwapoteza legends wa Muziki wa Country. Safari hii Mwanamuziki Kenny Rogers ametutoka. Cc. Jon Stephano et al
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi wakati nimepigika na napambana ili nipate nafuu ya kimaisha hakika nimepitia vitu vingi mno na vingi kati ya hivyo ni vya kukatisha tamaa maishani ila nilikuwa napata moyo na hamasa kutoka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
AKA: "Toxic Skies" Starring: Anne Heche, James Tupper & Tobias Slezak A respected virologist and a mysterious renegade race to find a cure for the deadly virus that’s spreading across the country...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
March 20, 2020 AWARD WINNING MOVIE. When a disease turns all of humanity into the living dead, the last man on earth becomes a reluctant vampire hunter. Vincent Price Franca Bettoia...
0 Reactions
1 Replies
921 Views
Kichwa cha thread chajieleza. nashusha nyimbo kali za zouk. pia waweza kuongeza zako tusaidie ambao hawana Leo naanza na Oliver Ngoma. Mie nazipenda 1. Kusu 2. Lusa zinanifikirisha mbali sana hasa...
0 Reactions
18 Replies
13K Views
Wakati mwanamfalme wa Kiafrika na karani mmoja mwanamwali Mzungu wa maisha ya wastani kutoka kwa wamiliki wa bima wa Lloyd, walipoamua kuoana mnamo mwaka 1948, ilichochea hisia mbalimbali nchini...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau wa tasnia ya muziki wa kizazi kipya Tanzania. Njooni tujuzane kati ya wahasimu hawa wawili. Nani amenogesha zaidi uzinduzi wa album yake? Na kwa sababu gani? Honestly mimi nime enjoy zaidi...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wakuu salamu. Naomba kuuliza,hivi kuna uwezekano wa ku-download series za kikorea ambazo zipo kwenye one folder. Yaani,badala ya ku-download episode moja moja mpaka ziishe. Hakuna namna ambayo...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau wa Entertainment natafuta hiyo album anayeweza kunisaidia kuipata itakuwa vyema sana. Ina nyimbo nne nazo ni 1. Elephants Ambiance 2. Elephants a gagne 3. Tienbe Moin Fo na 4. Motema na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau,nimehangaika kwa muda mrefu kupata jina la wimbo huu bila mafanikio ni wimbo wa zamani na sehemu ya mashairi yake yanasema "NIMEACHANA NA MUME WANGU NIMEKWENDA KWA REHANI,BAADA YA...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wakuu Sihitaji kuwachosha niende kwenye mada. Ni nyimbo zipi kwa bongo ulizipenda na mpaka sasa zikipigwa unakumbuka enzi hizo? Kwa mfano: Mimi nyimbo za wasanii wa Daz Nundaz mfano...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Walimu Wa Sayansi Tanzania Walimu Wa Sayansi Tanzania Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Herode anamtafuta mtoto ambae amezaliwa. Herode alifadhaika Sana moyoni, kusikia mfalme Yesu amezaliwa katika Bethlehem nchi ambayo Herode aliitawala. Mtoto mfalme alie tabiriwa kuchukua...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Dogo kachana kama 2pac,hii ndo hip-hop Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
18 Replies
5K Views
RIWAYA; MAUAJI YA KIFO MTUNZI; BAHATI MWAMBA SIMU;0758573660. Mwaka 2012 CHAYA- Kikundi chao kilikuwa na watu wanne. Kikundi hiki kilikuwa na watu wanaopenda kujiongeza...
6 Reactions
38 Replies
10K Views
Back
Top Bottom