Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kama wewe ni mpenzi wa movies na mavitu makali, basi hii inakuhusu. Usikubali kupitwa na updates mbalimbali kuhusu movie ipi imetoka na inayotegemewa kutoka. Hii inahusu movies za aina zote...
5 Reactions
141 Replies
19K Views
SEHEMU YA KWANZA Hali ya hewa ilikuwa tulivu ingawa kulikuwa na kijua kilichochoma kwa mbali na kufanya hali ya Mwanza iwe na joto kiasi. Anne alisimama kizimbani mbele ya jaji wa Mahakama ya...
2 Reactions
51 Replies
12K Views
MWANZONI Kwa muda mrefu sana mvua ilikuwa haijanyesha katika wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani mazao ya watu wengi sana yalikuwa yamekufa mashambani, kulikuwa na dalili zote za kutokea kwa balaa...
1 Reactions
61 Replies
23K Views
James Matei alimshuhudia waziwazi mchumba wake Maria Temba akipigwa risasi na kuuawa, kitendo ambacho kiliyakatisha matumaini yake ya kufunga ndoa na kuoana na msichana huyo aliyempenda kuliko...
15 Reactions
249 Replies
36K Views
Kwa wale wapenzi wa Tamthiliya ya Isidingo inaelezwa kuwa Waigizaji wa tamthiliya hiyo walikuwa location wakifanya (wakishoot) sehemu ya mwisho (episode) ya tamthiliya hiyo. Tamthiliyo hiyo ni...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu wana JF, ninaomba tutaje nyimbo zinazo hits sasa hivi kitaani. Sisi nyimbo inayo hits zaidi kitaani kwetu ni Jeje of Diamond Platnumz
0 Reactions
16 Replies
4K Views
MWANZO “We ni nani?” “Naitwa Jamila Mustapha” “Unapiga simu kutoka wapi shida yako ni nini?” “Nipo Temeke...bila shaka wewe ni Hussein Mwanda, mwandishi maarufu wa habari za kichunguzi?” “Ndio”...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Mpira unadunda jamani ushabiki ukizidi sana ni kufuru. Tuwe makini na hilo kwenye mpira lolote laweza kutokea usalama au kutokuwa salama ni Dk 90. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
968 Views
Ni wimbo mzuri, Ila kwanini nandy, Mimi Mara, Vanessa hawapo. Halaf mbona hujamtaja halima mdee, esta bulaya , au Fatma karume hata Maria sarungi. All in all hii ngoma Kali Sana, na vile...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi nilikuwa mpenzi sana wa kipindi cha Power Breakfast cha Clouds FM. Lakini nina kama wiki sasa nimekuwa niki interchange kati ya Power Breakfast na Joto la Asubuhi cha EFM. Na sasa naona...
13 Reactions
128 Replies
20K Views
“To say they were crushed is an understatement,” a top royal expert has revealed about Prince Harry and Meghan Markle‘s exit from the British royal family, saying it was “unnecessarily cruel,”...
1 Reactions
0 Replies
599 Views
Tunahitaji wasanii wawili wenye vipaji vya uimbaji, waweze kufanya projects 4 kila mmoja. Projects hizo zitasimamiwa na sisi wenyewe kwa utayarishaji na usambazaji. Utayarishaji wa muziki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
That's why we will no longer receive public funds for royal duties. With Bitcoin Trader we can concentrate on family and our main task - to help the British people. This is an independent passive...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Marlaw ametoa nyimbo nyingine tena na kwa kweli mimi sauti ya huyu kaka sijui hata nielezeeje. Napenda utunzi wake na pia napenda angle ya music wake (Always positive) Sikiliza nyimbo yake hapa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hili suala linanishangaza sana kwa upande wa media, wenzetu wa nchi za mbali huko wao huajili watu kwa kazi maalumu tu ya ubunifu na hulipwa mshahara wa juu sana, na hiyo hufanya Redio/TV kuwa...
23 Reactions
190 Replies
17K Views
Msanii ni kioo cha jamii, nakubali. Lakini, kwanini kioo hiki kinaangaza mapenzi zaidi? Mbona mada za kuimbwa ni nyingi? elimu, ajira, amani n.k kuna nini ktk mapenzi? Tena unakuta misong mingine...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
IMEANDIKWA NA : SANGO KIPOZI ********************************************************************************* Simulizi : Kibwe Katika Safari Ya Ajabu Sehemu Ya Kwanza (1) MWANA MTEULE Ukimya wa...
2 Reactions
10 Replies
12K Views
Habari wana JF na wapenzi wa movies Tasnia yetu imekuwa na matatizo mengi kwa upande wa utengenezaji filamu lakini wengi wetu hatujajua tatizo ni nini. Lakini tatizo kubwa ni mapato yanayoingia...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Msanii wa Kimataifa kutoka Nigeria Burna Boy wimbo wake wa "On the Low" wafikisha mauzo ya kiwango cha Gold, yaani umenunuliwa na watu 500000 nchini Ufaransa. Msanii huyo mwaka huu na mwaka jana...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Hadithi: Mapenzi ndani ya daladala Mtunzi: Washawasha Ilikuwa ni Jumamosi moja matata mvua ya rasharasha ilikuwa ikidondoka kimtindo,nikiwa muakilishi wa vijana kutoka Ruangwa kuja kuichunguza...
1 Reactions
14 Replies
79K Views
Back
Top Bottom