Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Boss wa Tuzo za Grammy, Deborah Dugan amefukuzwa kazi na waendeshaji wa tuzo hizo baada ya miezi 5 tangu kuajiriwa kwake kutokana na kutofautiana kwenye misingi ya kazi. Hata hivyo, Deborah...
0 Reactions
0 Replies
532 Views
Kwa wale ambao hamkusoma hadithi hii ya E.J.S, waweza download this pdf version. Sorry for the repetitions and the missing parts....
0 Reactions
4 Replies
12K Views
Siumii Barca Kufungwa Naumia Kumuona Messi Aliyekata Tamaa Kabisa This Is Very Touching Jamaa Anaonekana Amechoka Inafika Hatua Hata Kuongea Anashindwa Board Haielewii,Wachezaji Wenzake Hovyo...
0 Reactions
1 Replies
588 Views
Producer wa The Industry, Nahreel amesema kuwa lengo la kuanzisha Chuo cha Muziki ni kutaka kutengeneza watu watakaoweza kuja kuleta mapinduzi kwenye Muziki wa Bongo Hit maker huyo wa ‘Nana’ ya...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kuna huu wimbo wa huyu Gwiji wa miondoko ya Sukus, ambaye amejipachika majina lukuki, mara sijui Mopao Mokonzi, Sakozi n.k. Huu wimbo nimeusikia ukichezwa jana kwenye Bar moja wakati...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Jamani sio kwa flavour hizi[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39] Kanyimbo katamu haka jamani Kwangu ndo song bora haswaa sauti lugha ya malkia daah utadhan sio mbongo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari Binafsi Huwa napenda kutizama Documentaries tofauti hasa za nje Inawezekana kuna Wadau hapa Wana idea flani nzuri za Documentaries ambazo wangependa zitengenezwe siku moja Kama Una idea...
0 Reactions
0 Replies
792 Views
Wakuu naomba mwenye wimbo wa Beberu uliimbwa na Issa Matona anitumie, huwa unanikumbusha good moment sana, nimeutafuta YouTube haupo. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Ni kutoka kwa msanii mchanga anayeibukia hii ngoma imenifanya nikaguswaa mnooo watu wanatalent hatari hebu chekini tu daaah so amaizing sweet song hutojutia kuiwatch...
1 Reactions
7 Replies
841 Views
Ilikuwa kila siku saa 3:30 usiku siku za jumapili, Ijumba Maua Mzee kasri na mkewe Roda Ijumba Siti N.k Wengine humu muda huo tumewapakaka Oooh! I never missed Tausi Nasiki wengi wa waigizaji...
3 Reactions
51 Replies
13K Views
Wadau habari za maujukumu, kama kuna wapenzi wa Naigerian au African movies zenye stori nzuri iliyosimama na kuhamasisha kuangalia hata kuinuka kwenda toilet unashindwa tutajiane machimbo ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtunzi: Washawasha Mambo zenu natumai muwazima au sio? Mi niko poa namshukuru Mungu,kwa jina naitwa Jeniffer nina miaka 23,leo nitawahadithia jinsi baba yangu wa kambo alivyonifumania nikijichua...
1 Reactions
7 Replies
35K Views
“Where do you live?” (unaishi wapi?) “Tanzania! You?” (Tanzania! Wewe?) “Oman.” “This is my first time to chart with an African girl, you look stunning...” (hii ni mara yangu ya kwanza...
2 Reactions
9 Replies
5K Views
LOVE STORY: PENZI PENZINI SEHEMU YA 1. AGE : 18+ Alice ni msichana mrembo wa sura na umbo, ana rangi ya choculate, mrefu wa wastani na ana macho ya kusinzia, shavuni ana vitundu vidogo viwili...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
HADITHI: Msafara wa Mamba SEHEMU: 01 MTUNZI: Ally Mbetu ‘DR AMBE’ SIMU: 0713646500 Siku zote kwenye msafara wa mamba huwa haukosi kenge na mijusi. Msichana Herena bila kutegemea amejikuta...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
SEVEN DAYS IN HELL! (SIKU SABA KUZIMU)-1 Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
It's been a while hatujaonana wakuu. Najua 'tumemissiana' sana au sio wandugu? Haya sasa nimerudi tena na Riwaya ya NYUMA YAKO yenye mahadhu ya Kijasusi na kiitelijensia kama tulivyofanya kwenye...
11 Reactions
245 Replies
50K Views
RIWAYA: JASUSI KOMANDO NA; BAHATI MWAMBA. SIMU: 0758573660 1. BERBERA, SOMALIA (Somaliland). Alivuta pumzi zake kwa kasi kisha,alizishusha taratibu huku akiwa amefumba macho yake na kichwa...
8 Reactions
23 Replies
46K Views
KADI Hadithi fupi, kali: iliyoandikwa miaka zaidi ya karne moja iliyopita. Imefasiriwa kwa Kiswahili na Wako Mtiifu. Richadi Buruweli, wa New York, hataweza kamwe kuacha kujuta kwa nini lugha ya...
3 Reactions
12 Replies
6K Views
RIWAYA: KICHAA. Na: ZUBER R. MAVUGO. N0. 01. Njaa, iliendelea kulisumbua tumbo lake na kumpelekea kuanza kujipitisha maeneo ya ma'ntilie, huku akiamini kuwa shibe yake ipo mikononi mwao. "mmh...
4 Reactions
102 Replies
25K Views
Back
Top Bottom