Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
HAPPY AT LAST (FURAHA HATIMAYE) Eric Shigongo “Umeolewa?” “Ndio!” “Mume wako yuko wapi?” “Dar es Salaam!” “Sijawahi kumwona hata mara moja akija hapa hospitali!” “Ana kazi nyingi sana ofisini...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
"JENEZA LA AJABU Mtunzi; HAKIKA JONATHAN Whatsup; 0629905923 ***SEHEMU YA 01**** Ikulu kwa mfalme ; "Siwezi kufa kirahisi namna hii, dunia tamu bwanaaa weeeh, mali zangu hizi nitamuachia nani...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
MAJIRA ya jioni nikielekea nyumbani, macho yangu yaligota kwenye wallet iliyodondoshwa njiani. Niliiokota na kuifungua ndan ili kuona kama kuna vitambulisho vitakavyowezesha kupata namba za...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Huyu msimuliaji wa matukio katika hiki kipindi licha ya kusimulia na kuyapanga matukio vizuri na kwa ustadi mkubwa, ila anazidisha mno chumvi. Hebu tafuta simulizi zake kuhusu Bruce Lee halafu...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Sehemu ya kwanza ILIKUWA ni majira ya saa nane na dakika kumi usiku. Mitaani, kulikuwa na giza la kutisha. Hali ya hewa ilikuwa ya baridi sana katika jiji la Birmingham nchini Uingereza. Ni saa...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Simulizi:John ze Mwizi Na: Humph Isack Whatsapp: 0742817066 Sehemu ya Kwanza Koooooh!! koooh!! koooh!!" ilikuwa ni sauti ya babuyake john akikohoa kwa nguvu wakati amejilazakitandani,kikohozi...
1 Reactions
24 Replies
5K Views
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA IMEANDIKWA NA : MAUNDU MWINGIZI CHANZO : BURE SERIES SEHEMU YA KWANZA “Naitwa Hunudu, ni shefa mkuu katika Dini hii tukufu ya WAUFI, Dini hii inaongozwa na Wafalme wa...
4 Reactions
18 Replies
10K Views
SIMULIZI: EQUATORIAL FOREST (msitu wa Equatorial) MTUNZI: AISHA KHAN SEHEMU YA 01 UTANGULIZI: kwa Jina naitwa Najma Abdallah, Nina umri wa miaka 22 na soma university mwaka wa pili sasa, wazazi...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
WAHUSIKA, SEHEMU, MAJINA NA MATUKIO YALIYO KWENYE RIWAYA HII NI KAZI YA SANAA NA SIO HALISI. UFANANI WA AINA YOYOTE NA MAMBO HALISI NI NASIBU. ____________ 1 Kwenye Jumamosi tulivu; mawingu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
"Fanya kama ulivyoambiwa" Alisema mtu yule,mrefu mweusi na mwenye mapana! Niligeuka nyuma na kumtazama mke wangu,alikaa pale.. kiti cha mbao,mikono nyuma,kamba miguuni,kamba tumboni na kitambaa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
SEHEMU YA 01: Nilichozoea kusikia ni kwamba kuna majini wanawake wanaojigeuza binadamu na kuwatongoza wanaume. Wengi wa majini hao hutaka kuishi na binadamu kama mke na mume, jambo ambalo...
2 Reactions
24 Replies
13K Views
Imeandikwa na Hamisi Kibari wa gazeti la HabariLeo “HUYU ndiye Edi Ganzel uliyekuwa ukimuuliza sana,” aliniambia Mzee Barnabas Maro, akinitambulisha kwa mmoja wa watunzi mahiri wa riwaya kuwahi...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Kila napoona biti ipo uchi naikonyeza, mizuka ikpanda smetimes naibusu naichombeza, sisubiri gesti hata chocho naibonyeza, verse kali naulza ukivaaje unapendeza, Ni vita ila kama hujui usiwake...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
CHAPTER 1 ILIKUWA ni asubuhi tulivu, anga lilifunikwa na mawingu mepesi baada ya wiki nzima ya mvua za vuli . Angalau sasa wakazi wa mji waliweza kutoka majumbani mwao kwenda makazini na maeneo...
3 Reactions
19 Replies
30K Views
SIMULIZI YA MAISHA: USILIE NADIA. MTUNZI: GEORGE IRON MOSENYA SIMU: 0655 727325 na 0757727324 SEHEMU YA KWANZA Mwendo wa kutoka nyumba ya kulala wageni tuliyolala usiku uliopita haukuwa mkubwa...
4 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari mambo naitwa Mr Equator Nimeandika ujumbe huu kuku omba swala moja tu! Mimi nimetengeza website ya ku share story ambayo ni http://www.equatorstory.com/ Je umekuwa ukipata tabu kupost story...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni wimbo aliouachia akiwa na Tanasha Donna, ndani ya saa14 umefikisha view 1M Huku na huku nilijua diamond ameenda kuangukia pua rakini ukweli ni kwamba kijana bado anakimbiza anazidi kuvunja...
3 Reactions
116 Replies
10K Views
Mwimbaji mshindi wa Grammy 4, Erykah Badu (48) ameachia bidhaa za manukato yenye harufu ya Uke wake na ndani ya dakika 19 tu yameweza kumalizika sokoni. Manukato hayo yaitwayo "Badu's P**sy"...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kiukwel kwenye filamu za kizungu sijaona mtu anayetisha Kama Scott Adkins kwenye mapigano.Huyu jamaa namkubali ile mbaya, ukitaka kumjua vizuri mwangalie kwenye avengement, incident man.Ninja...
3 Reactions
100 Replies
16K Views
Muziki una mchango mkubwa kwenye ukuaji wa uchumi nchini Marekani, kwani umechangia kuingiza kiasi cha (USD 143 Billion) sawa na TZS. Trilioni 309.5 kwenye pato la taifa kwa mwaka 2019. Pia...
0 Reactions
2 Replies
942 Views
Back
Top Bottom