Hawa jamaa wa Block 89 ya Wasafi wanaongeaga vitu vingi sana hawavijui! Too much lies! Story za Kobe (wao wanamuita Kobe na sio Kobi) zimepotoshwa sana kuhusu basketball. Most of them are...
Habari wanajamvi
Mimi sio mwandishi mzuri ila kuna kitu nimeanza kukiona kwenye hii Media mpya ambayo ina msemo "Hii ni ya kwetu sote". Ukweli ni kwamba siku hizi hii media imeanza kususa kabisa...
Hii ndio sura ifuatayo, kusema heri mfalme wako oh
(Ekelamu ya se, kumisa nde mokonzi yo oh )
Viumbe vya ulimwengu, msifu Mungu badala yake
(Worldly creatures, praise God instead)
Hii ndio...
Verses hizi hapa niwekee vocal na biti unitumie PM.Ukiwa na vese za kuongezea weka hapa......Master Jay, Majani. Ney wa Mitego, Roma Mkatoliki.
Kama unafanya kazi
Weka salary mezani
Tuoneee sasa...
Kuna baadhi ya maneno kwenye chorus huwa siyaelewi sijui waliimba nini. Ni remix ya niite basi, imeimbwa na wakali kwanza
....niite basi mpenzi uwe wangu, nikakutambulishe kwa ndugu zangu, shida...
Habari tena waungwana! Kitambo sana sijaongelea kuhusu filamu. Leo nimerudi tena. Jana nilipata kuitazama filamu ya "Bohemian Rhapsody" iliyotoka mwaka wa 2018. Si ajabu imepata kuuzwa sana hadi...
The Inspirer
When You Fall
A Poem
There are times when
you just feel tired,
tired of trying to fix things,
tired of trying to carry on.
You tried to write that book but it can’t be finished...
Jay-Z na Beyonce ni miongoni mwa watu ambao walibaki wamekaa wakati wimbo wa taifa la Marekani ukiimbwa kwenye ufunguzi wa fainali za #SuperBowl usiku wa kuamkia leo. Tafsiri yake ni kutounga...
Kwanza natoa pongezi kwa Uongozi wa E-Fm Radio kwa kuwa kumbuka na kuwaamini Wasanii hususani wa Maigizo maarufu kama Bongo Movie kwa kuwa sehemu ya Watangazaji wake, baadhi niliowasikia...
Hi hadithi nilihadithiwa na marehemu bibi yangu RIP bibi.
Katika kijiji kimoja alitokea kijana hodari sana kwa mawindo. Kijana huyu aliweza kuitunza familia yake vizuri hata baada ya baba yake...
ANGEL WA DAR SEHEMU YA 01
Nilishtuka kutoka kwenye usingizi uliokuwa unaninyemelea pale kwenye sofa baada ya kusikia mlango ukigongwa, sikuwa nategemea ugeni wowote kwa mchana ule na ukizingatia...
Moja kati ya Rapa hatari USA na ulimwenguni kote ni Drake pia Kendrick Lamar. Drake aliwahi kutamba sana na album kama Views, Scorpion n.k
Anafanya vizuri pia kwenye mitandao kama Spotify...
Ni muda muafaka sasa wa haki kutendeka kwaajili ya Han
Sinema za Fast & Furious zote ni kuhusu familia lakini kwa Hobbs & Shaw inayomfanya 'Character' ambaye ni 'Villain' wa zamani katika...
Habari zenu wakuu, Sheria za mtandao nchini zinawataka watengeneza maudhui wote kusajili channels zao TCRA bila kujali ni maudhui gani wanatoa, jambo hili limefanya baadhi ya watu walioendelea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.