Mchekeshaji na muigizaji kutoka nchini marekani ambaye ni mzaliwa wa nchini Ghana, Jafari Ferguson maarufu kwa jina la Michael Blackson, Leo tarehe 11 mwezi january amepost picture kwenye mtandao...
Habari wadau wa JF? kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Ningependa kujua ni maeneo gani huyu kijana Ferouz anapatikana.
lengo kubwa la kutaka kuonana nae ni kwamba nahitaji kumuinua kimuziki...
Hii ni kwa wapenzi na wafuatiliaji wa The story book kutoka wasafi fm!
Hawa jamaa walianza vizuri sana na hichi kipindi chao lakini lakini saizi kipindi kinazidi kupoteza mvuto, baada ya kuanza...
Ebele Okaro Onyiuke (born 19 January) is a Nigerian actress and film producer
Early life and education
Okaro was born in London and raised in the Nigerian state of Enugu. She began acting while...
Hello JF,
Huu ni uzi maalum wa kuwamulika wasanii wetu waliopotea kwenye game lakini tungependa warudi. Wengine bado wapo lakini ni kama wamepotea yaani hawafanyi muziki wenye ushawishi kama hapo...
Ningependa kuandaa season yangu ya kiswahili yenye episodes kama kumi hivi. Sasa, je ni yapi mahitaji muhimu kuwa nayo ili kuweza kutengeneza bidhaa hii?
Kwa wale ambao mpo kwenye tasnia hii...
Najaribu kuwaza hivi, ni kwamba wasanii Bongo ni wachache sana mpaka wasanii wa nje kupewa promo kubwa kuliko wasanii wa ndani!?
By the way, sina tatizo sana na wasanii wa kupewa promo hapa Bongo...
SEHEMU YA 01...
Ingawa ilikuwa mchana hali katika msitu wa Kungoni nchini Kongo ilikuwa ya kiza nene! Mawingu yalitanda angani. Ni asubuhi ya siku hiyo tu ilinyesha mvua kubwa tena ya mawe na...
TAMTHILIA FUPI: HAMIDA
MTUNZI: FRANK TITUS KAPINGA.
NJE YA JENGO LA UJENZI:
Fundi Maiko na mafundi wengine walikuwa bize na ujenzi wa nyumba. Licha ya kuwa bize; stori zilipamba moto vijana...
Kuna wimbo mmoja wa dansi wa miaka ya 2000 kutoka kwa moja ya bendi za hapa hapa nchini. Naweka chini baadhi ya maneno maarufu yaliyomo katika wimbo huo ili mnisaidie kuujua jina ili niupate...
What Fresh Hell
Harry and Meghan’s week gets complicated as Dad steps into the picture and the Canadians act very un-Canadianly
BY STUART HERITAGE
READING TIME: 1 MINUTE
1992was not a sterling...
Kwa wapenzi wa Hip-Hop nadhani tunamfahamu Dizasta Vina na huu wimbo wake ni wa siku nyingi tu
Angalia jinsi huyu Stamina alivyo copy (Hapa nyimbo zote zinalinganishwa)
Na huu ndo wimbo wa...
MWIMBAJI mahiri nchini, Waziri Sonyo ameibuka na wimbo mpya uitwao Mwisho wa Siku ya Siku.
Akizungumza Dar es Salaam Desemba 16 Sonyo alisema wimbo huo utakuwa katika albamu yake binafsi...
Tarehe 6 Oktoba 2019 saa 10:05 Saada alipiga simu kuripoti tukio la mtoto wake mwenye umri wa miaka minne kuchomwa pasi na baba yake.
Huku akitokwa na machozi Bi Sada alieleza kuwa mumewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.