Kwa wanaopenda miziki ya miondoko ya Reggaeton, Raggamuffin, Dancehall, Pure Reggae n.k Nadhani tunamfahamu zaidi Bob Marley na hasa kundi lake alilokulia la The Wailers, ila na baadhi ya wakongwe...
Jana mechi ya Liverpool na Chelsea ya finali ya Super Cup. Chelsea alipiga mpira mzuri Sana hata baada ya kusawazisha goli la pili. Lakini kilichotokea mabigwa walishinda game.
Vivyo hivyo finali...
Wanaoucheza muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara.
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayetamba kwa mafanikio...
The Game alitangaza kuumaliza muziki wake kwa album yake "Born 2 Rap" ambayo ni ya 9 na itakuwa ya mwisho katika maisha ya muziki.
Mkali huyo wa Compton ameitumia instagram kuweka wazi kwamba...
Zimekua zikiongoza kwa kuua watu wengi kwa wakati mmoja
Sikia huu wimbo jamaa alivyoimba kwa hisia kumuimbia rafiki yake aliekufa Kwa ajali huko morogoro
09-07-2019.
"KOFFI OLOMIDE" kafungua mkutano na Wandishi wa Habari kwa maneno haya kabla yakuanza kujibu maswali :
01. Kwanza namshukuru Mungu kuniwezesha kufika tena Jijini Paris,baada ya...
Habari Wana JF wenzangu kuna swali linanitatiza hapa...
Nahitaji kujua maana ya "REACTION" za nyimbo ...
Yaani kwa mfano ‘Yo Gotti — Down In the DM’ nimekuwa nkiangalia hata hizo videos but...
Simulizi: SALHAT
Sehemu: 01
Mtunzi: Salma Ramadhani
Ulikuwa usiku wa manane ulioambatana na radi za kutosha huku mvua nyingi na Kubwa ikiendelea kunyesha katika maeneo ya Arusha mtaana wa...
Here in Detroit Mi. the mayor was accused of cheating on his wife and lying under oath..... text messages where retraced from 2002..... the discovered the text messages in 2007..........Can my...
Huyu Dada namuelewa sana. Ni bonge la comedian .Ana kipaji cha hali ya juu sana cha kuchekesha .
Mimi ni moja kati ya watu ambao nilikuwaga siamini kama mwanamke anaweza kuwa funny.
Nasra Yusufu...
WCB walianzisha wasafi(.)com ili kuuza na kudistritribute ngoma lakini ikaja ikafungwa. Ni funzo gani tunafaa kupata na ni nini twafaa kuzingatia?
>> Pata Maelezo
Wasalaam,kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,naomba msaada kwa mdau atakayekua na huo wimbo NIZIKWE HAI ulioimbwa na wasanii wawili wa bongo fleva(MANDOJO NA DOMO KAYA).Kadhalika wimbo...
Niukweli usio fichika, asilimia kubwa ya watanzania wanaopenda kuangalia maigizo/tamthiliya (movies) hawaangalii movies za kibongo.
Wasanii/waigizaji wamekuwa wakitulaumu watanzania kuwa si...
Wakuu ile show ambayo nilikuwa ikingojewa kwa hamu kubwa imeanza sasa EAST AFRICA GOT TALENT 2019
Mashindano haya yakusaka vipaji yanafanyika nchini Kenya nakurushwa na baadhi ya television...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.