Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Hallo, Binafsi huwa napenda sana Kuangalia hizi thriller movies, tena ukutane na wale madairekta wajuzi Wa kucheza na scripts, kila tukio linafuata unatamani kujua nini kitachofuata huku ukiwa...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Sina maneno mengi. Kwa wale wapenda good music waliofanikiwa kusikiliza japo vipande kidogo vya hii album watakubaliana na mimi kwamba ni album kali kuwahi kutokea. Album imesheheni collabo ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanza niweke wazi kabisa, EMINEM ndiye mwanamuziki wa HIP HOP ninayemkubali kuliko mwanamuziki mwingine yeyote wa HIP HOP, yaani ninamkubali kiasi kwamba nikiona "list" yoyote inayohusu...
24 Reactions
124 Replies
15K Views
Kwa macho ya harakaharaka inaonyesha kuna mamilioni ya kutosha yapo kwenye intertament! Naomba mnisaidie ni ABC gani nipitie na Mimi niwe promoter ama meneja kwenye hii biashara!?
0 Reactions
0 Replies
675 Views
Kamnyangala Kane mayuu, kamnyangala Kane..... Wa Isike mlihoo, wa Sikonge mlihoo, wana mayuuu mliiihoooo... Ndembele wanyamwezi wotee Yaayuuuyiiii.... Usipoweza kuzungusha mzigo mzito (kwa...
5 Reactions
36 Replies
6K Views
Never waste your time, never let you go Talk down, back-to-back, you're the best I know Oh yeah, you dey blow my mind Blow my mind, blow my mind For your love, I go change my life Change my life...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kwa wale wapenzi wa comedy..kuna hili kundi la mark angel comedy from Nigeria. Ndani ya kundi utakutana na wakali kama uncle Mark, Emanuella, Chikwamecka.. na wengine.... Kwa kweli vijana wako...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Leo nipo na The Brave Taja series/movie ya kimatrkani ikionyesha mmarekani anavyopambana na ugaidi.Hasa Midleeast syria,iraq,afghanstan huko kunakuwa ni shida! Tupia hapa!
0 Reactions
23 Replies
5K Views
1 Reactions
2 Replies
748 Views
Hizi taasisi mbili Simba na Yanga ni team zenye washabiki na wanachama wengi zaidi ya Chama chochote cha siasa hapa nchini,.. Mwekezaji mmoja mwenye hisa 49 ana nguvu na sauti kubwa sana katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bahati Bukuku azungumzia walio mzushia kifo
0 Reactions
1 Replies
14K Views
Hatimaye baada ya Homecoming jamaa wameachia Timeline ya project zao zinazofata!. Tutaanza purukushani za Cinema mwaka ujao (2020) mwaka huu unapita. Tuliokuwa tukiisubiri Guardians of The Galaxy...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Nawezaje kupakuwa movie ikawa phone storage? Maana nikipakuwa,inakuwa offline.
0 Reactions
1 Replies
688 Views
Mtunzi:Juma Hiza 0712988278 Nilikutana naye Mlimani City supermarket. Alionekana kuwa msichana mrembo sana, kuanzia sura yake ya kuvutia, umbo la namba nane, chuchu saa sita yani alikuwa ni...
1 Reactions
61 Replies
33K Views
Hivi karibuni kumeibuka tabia ya hawa wasanii kuwaimbisha watu waliotoa viingilio vyao kwenda kuwaangalia wakiperform kwenye stage. Binafsi naiona hii tabia kama kero na dhuluma kwa mashabiki na...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
Kwa mtazamo wangu kwa nyimbo zote za kizazi kipya cha sasa hizi zinabeba ujumbe mzito na ambao utaishi muda mrefu kwa maana siasa na H.IV/AIDS ni masuala mtambuka.Hongereni prof na Ferooz kwa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Abdul akiwa ameshangazwa na kitendo hicho cha mwalimu mlemavu kutembea karibu kilometa tano toka Bagamoyo mjini hadi hapo, alijikuta akishawishika kumpeleleza. Abdul, kwa mwendo wa kunyata...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu kwema Muda c mrefu nimetoka kwenye mihangaiko yangu kwenye banda la chipsi. Kwa sababu muda umeenda nikaamua kupita mtaa Fulani shortcut ili niwahi kufika gheto kwangu (mtaa mwingine) Nikiwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Haya kwa wale wapenzi wa muvi kutoka studio za marvels tukutane hapa.. Mashabiki wa Avengers Team na Justice league Team. Tujuzane muvi zitakazotoka kutoka Studios za marvel. Superhero walio...
2 Reactions
58 Replies
5K Views
Karibu ufuatilie hasa kwa wale ambao hamumjui nduli Idd Amin. Hii makala imenikumbusha vita vya Kagera, kina January na Nape walikuwa shule ya vidudu zama hizo!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom