Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Kwa wale wafatiliaji wa time traveler kwa kupitia hii YouTube channel, watakua wanamfahamu huyu jamaa anaeitwa Noah. huyu mtu alikua anasema yeye ni mtu kutokea future [2030]. Ameaminisha watu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu mambo vipi ile movie ya sister marry iliyofungiwaga na body ya filamu Tanzania Kisa haina maadili inadhalilisha kanisa katoliki hatimaye imeachiwa huru Daaah! Movie moja kaliii sana Humu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa gamers wa ukweli watakua wanaelewa hii. Baada ya Michael kufake his death for 10years, Trevor agundua kua Michael yuko hai. Aamua kumfata nyumbani kwao ili kumuua lakini, Kutokuepo kwa Tracey...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Banshee Game of thrones Vikings Iris Sixflying dragons American Odyssey Power Gangrelated The 100 The originals Vampire diaries Money heist Blacklist Strike back Bodyguard Into the badland The...
0 Reactions
30 Replies
2K Views
Atupe mrejesho alieiona je ni nzuri au kama zilizopita?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Leo sina mood kabisa ya kufanya chochote, nimejaribu kuangalia movies naona nashindwa. Kwa wadau wenzangu wa movies, ebu tupeane maujanja, ni movies gani huwa huwezi kufuta kwenye pc yako? Ni...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika pitapita zangu Facebook nimekutana na hii kitu nikaamua niilete hapa jukwaani. Naomba uitaje movie quotation yoyote ile ambayo akiisoma mtu mwingine atajua hiyo ni movie ipi. Kwa mfano...
1 Reactions
105 Replies
10K Views
Huu ni uzi maalum kwa wanaJF kuweka Nyimbo Wanazohisi ni nzuri Ajabu na Zitaishi Milele. Mtu ukitaka kusikiliza Nyimbo zilizoenda Shule Huu uzi utakuwa unakuhusu sana. Maana Kila mtu ataweka list...
5 Reactions
177 Replies
28K Views
1. Game Of Thrones Seriously, mtu unaishi bila kuangalia game of thrones, i wish niifute akilin af niiangalie tena, tuzo yake ya best series in century ipo palepale Hii ndo best series kwa yoyote...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Bonge la song kwa sisi wanaume mabahiri na tusiokua na hela za kuhonga.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Guys mambo niaje. Ebu tuwekane sawa kidogo hivi kati ya Starboy Wizkidayo na Davido nani zaidi katika nyanja ya muziki.
0 Reactions
0 Replies
883 Views
habarini wanajamvi natumai niwazima waafya.kwmudamrefu nimekuwa nikitafu wimbo wasanura ulioimbwa na marehemu tongolanga.naomba jamani mwenye nao anitumie. Naupenda sana
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Oohhooo it's me agaaain! Comrade kipepe mzee wa nyika, KING OF THE JUNGLE! Leo teeeena nipo mitamboni hapa jf kwenye moja na mbili! Nateleeeeza kama nawinda swala Hahaaha ebanaeeeee! Leo mzee...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Mwenginewe hachomozi nakupenda pekeyako... Daima nitakuenzi.... dawa yangu sauti yako... Nikikupa tabasamu, wanipa utamu.... basi moorooroo... 😇 Alnuru Dadii 💋💋💋
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wakuu,Hope weekend inaenda poa....Hivi kuna anayejua hii movie Girlfriend waloigiza akina TID,JayMoe,Monalisa wapi inapatikana maana iliyopo YouTube kuna baadhi ya vipande havina sauti...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Najua kwahakika mmekufa kiume
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Jamani ni tamthilia ya kichina na imetafsiriwa kwa kiswahili ni tamthilia nzuri sana na inafundisha sana, inaonyeshwa channel ya star swahili ndani ya star times jtatu hadi ijumaa kuanzia saa 12...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Mimi nina uwezo wa kuandika hadithi nzuri, ninachohitaji ni jinsi ya kuwakilisha kazi zangu kwa wasomamaji na kingine ni mwandishi wa hadithi ananufaika vipi na kazi zake.nahitaji msaada wenu...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Back
Top Bottom