NYEMO CHILONGANI.
SHAMBULIO LA DAMU
0718069269.
Sehemu ya kwanza.
Dunia nzima ilikuwa kimya kwa muda, hakukuwa na mtu aliyeamini kile kilichokuwa kimetokea. Waliokuwa mbali na televisheni...
Wakuu tusaidiane kutungs nyimbo yenye jina hilo juu. Ikiwa tayari tutanunua beats za nyimbo ya Diamond " The one"
Mie naaanza hivi
Wacha waseme , wacha waseme wacha wasemeeee.
Wapambe...
Wakuu habari zenu kuna movie niliiona miaka ya nyuma kwa kiswahili tulikua tunaiita Jeshi la wafu naomba official name yake wakuu kama kuna anayejua wakuu Ahsante.
WAHENGA TULITESA SANA ENZI ZETU DISCO LA MCHANA (BOOGIE) NA MA-DJ WAKALI!!!
Zamani ilikuwa raha sana ambapo jiji la Dsm lilitamalaki disco lililokuwalikianza mchana(Boogie) hadi usiku. Enzi hizo...
Leo ni siku ya uhuru wa marekan je kama na ww ni team usa leo tunasherekea uhuru ambao tulio upata kwa nguvu zetu wenyewe kupitia mkuu wa jeshi kipindi icho GEORGE WASHINGTON Je unasherekea ukiwa...
Wadau wa mziki hapa nchini kuna wanamziki wengi vilevile na wasanii kibao ambao ndo wengi zaidi. Kiboko yaoni kundi linaitwa WAMWIDUKA BAND wanamziki wa tanzania wasiojua mziki wakasome kwa hawa...
Yep ni Tambaza. Kwani kuna shule gani tena nyingine inafua dafu?! Come on pipo, let's be honest...
Naongelea Tambaza Sec. School. Shule iliyotoa watawala wengi wa nchi hii. Shule iliyokuwa na...
Habari zenu wadau...leo nimeona tujadili kidogo vya nyumbani maana niliona threads moja ikitaja movies zenye sex scenes nyingi na hapo ndipo wakina Spartacus,game of thrones na nyinginezo...
Wimbo: Hisia za moyoni
msanii: Songa ft Double
mtayarishaji : Double
studio : Tamaduni music
Muziki mzuri ni ule wenye uwezo wa kuteka hisia za wasikilizaji. Wasanii wachache sana wanaweza...
Meneja wa lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Hamisi Taletale kupitia ukurasa wake wa Instagram amesema, yupo tayari kujenga ukumbi wa starehe hata kesho kama Serikali ya Tanzania itamruhusu...
Oyooooo...!
Moderators please Niko chini ya miguu yenu naomba msiunganishe huu uzi na ule mwingine.
Haya hayaa wale wenzangu na mimi wa mitaa ya Seoul (Seoul ya JF usiogope), ile siku iliyokuwa...
Wahenga wenzangu kipindi cha nyuma kulikua na dawa ya kikohoo iliyokuwa inaitwa MKOJO WA PUNDA,Hivi KWELI ile dawa ilitenenezwa kwa mkojo wa punda au zunga..?
Movie ishatoka jana na iko YouTube tayari.nawapongeza Sana bongohoodz pichaz wanatoa movie Kali sana.wahuni wakubwa niliikubali Sana na hii ya siku za arosto kweli one kacheza inavyotakiwa...
Historia huwa inajirudia:
Mechi ya kwanza:
Nigeria 2 Taifa Stars 1
Mechi ya pili:
Misri 2 Taifa Stars 1
Mechi ya Tatu:
Ivory Coast 0 Taifa Stars 0
Pia tukumbuke kipindi hiko ndio tuliwahi kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.