Wadau kuna wimbo nautafuta sana, ni wa zamani kiasi na bahati mbaya sijui unaitwaje lakini kuna kipande kama sio chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...”. Mwenye...
Habari za mda huu..bila kupoteza muda,nimekuwa mdau mkubwa wa makala za huyu gwiji wa habari za michezo kwenye magazeti na mitandao,yupo vizuri,yupo kisasa zaidi,he is very smart...
Huwa napatwa...
Huo ndio ukweli!!!
Siku tukiacha siasa kwenye maendeleo ya mpira wa miguu tanzania ndipo labda tutaweza kupambana na senegal angalau,...hakuna tajiri mwenye pesa zake atakua wazi kuwekeza pesa...
MUZIKI NA UCHAMBUZI
Wimbo: Kesho yetu
Msanii: one the incredible
Albamu: Soga za mzawa
Mtayarishaji: texas
Studio: mlab ( tamaduni music)
Muziki unaowakilisha utamaduni wa hip hop , umekuwa...
mimi simuelewi kabisa anachoimba, hv nyie mnajiita team diamond na wote mnaompenda,huyu ndugu anaimba nini?
mimi simuelewi kabisa nilikua fan wake mkubwa lakini kwasasa naona kama anacheza...
Wakuu njooni tufurahi pamoja,
Mimi napenda sana hii mchezo kuuangaluia hasa kwemye mashindano ya kimataifa ambapo kuna wanawake wa kiafrika.Nashindwa kuweka video maana ziko YouTube zimenishinda...
Steringi wa hii filamu alikuwa ni demu mweupe mzuri mwenye nywele ndefu, huyo demu Mara nyingi alikuwa anapendelea kuendesha farasi, hlf huyo demu alikuwa anajua kupigana sana, hlf filam nahic ni...
*IJUE YANGA*
Wakiwa na pesa wanajiita *DAR YOUNG AFRIKA*
Wakiishiwa wanajiita
*TIMU YA WANANCHI*
Wakikosa kombe wanajiita
*MABINGWA WA KIHISTORIA*
Yani wanailazimisha furaha hata kama haipo...
Kuna jamaa walikua wakiitwa Atomic na wengine walikua wakiitwa Wembe...
Hawa jamaa wa Atomic walipiga wimbo mmoja unaitwa "mzee Nanga"... Yeyote mwenye nao huu wimbo pamoja na zingine, za Atomic...
Hawa wadada wamejitahidi sana, humu ndani sauti ya Victoria imetulia sana. Stella Mwangi naye amechana vizuri sana, instrumental imetulia sana na imekaa kibunifu sana, kiufupi kazi ni nzuri sana...
"Nipe nafasi ili niwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wako, moyo thabiti uliojaa mapenzi sawasawa na yako..Tuishi sote milele Beatrice, tuishi sote milele kama watoto wazuri wapendezao" hicho ni...
Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.