SIMULIZI;NILIKUPENDA
MTUNZI/MWANDISHI;RAJA SAIDY
WHATSAPP;+255756920739
SMS/CALL;+255621047841
SEHEMU YA KWANZA ( 01 )
Jua na kiza viliambatana mfululizo na kuzifanya siku ziende kwa...
Sikubaliani na wote wanaobeza kile kilichofanywa na Taifa Starz katika mechi ya leo dhidi ya Senegal katika mashindano ya AFCON. Nasema hivyo si kwa kuwa sijui soka bali kwa kuwa kati ya milioni...
Koffi Olomide Amefutiwa matamasha yake Mawili Nchini Afrika Kusini kwa Sababu ya vitendo Vya ubakaji, niseme tu kwamba Papaa Mopao, kiukweli huyu jamaa anastahili sifa zake.
Toka nimeanza...
kwa wale wanaoujua ule wimbo maarufu wa kipindi cha zamani cha RTD Mtu ni afya. Hivi ule wimbo aliimba Mbaraka Mwinshehe au nani? na jina kamili la wimbo ni kipi? ahsante sana
Diamond Platnumz - Kanyaga (Official Music Video)
Diamond Platnumz has dropped his Official Video called "Kanyaga" Welcome to watch and Download Video ...
Jurko Murshid anapokuwa simba huonekana mchezaji wa kawaida sana lakini katika timu ya taifa uganda ni panga pangua je ni simba wanamkosea kumtumia au uganda hawana wachezaji wa kiwango kikubwa...
Wakuu habari zenu?,
Hivi inakuwaje hapa radio ya kwangu mimi ,nimesota nimeianzisha mimi ,nikaweka utaratimu wa kuwa na piga nyimbo tu za wasanii ambao mimi kwa mtazamo wangu naona watanisaidia...
Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta...
Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta...
Kwa wapenzi wa vitabu vya Ben Mtobwa, kwa mara nyingine napenda kuchukua fursa hii kuvitangaza vitabu vya marehemu Ben Mtobwa kwamba sasa vinapatika hapa jijini Dar es salaam, maeneo ya Posta...
Ukweli ni kwamba mnyonge mnyongeni asilimia zake mpeni...kijana Naseeb Abdul ametikisa muelekeo wa muziki nchini Tanzania kwa muongo mmoja sasa.
Apongezwe kwani ameiweka ramani ya Tanzania...
Muda mfupi uliopita,Lundenga akiongea na waandishi wa habari amesema Miss TZ 2014-2015 ana miaka 23 na hana masters ana degree.Kwa maelezo hayo anafaa kuwa miss Tz na hatavuliwa taji.
Mwaka 2005...
Hawa vijana wa kings music ya King kiba wametoa ngoma Kali inaitwa Rhumba,Vijana wana uwezo mkubwa sana ila naona wamekosa promo kutoka kwa boss wao.
Alikiba jaribu kufanya mziki kisasa uwa-brand...
Wakuu heshima kwenu .
Kwa muda mref sana nimekuwa natafuta hiz nyimbo,
1 VAA VIATU wa Jangalason
2 PESA..huu sikumbuki kwaya iloimba. Na album ilkuwa inaitwa hivo ivo PESA
Nawasilisha
Wanaforum tukutane hapa kuhabarishana vitu/matukio ya kuvutia katika fainali hizi za mwaka huu 2019 zinazotarajiwa kuanza Ijumaa hii ya tarehe 21/6.
Tuanze kwa kushuhudia muonekano wa muonekano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.