Nimekuwa namsikia bw.Steve Nyerere kuwa ni Msanii.Naomba kujua ni msanii wa nini?Kama ni wa Muziki ni nyimbo zipi ametunga? Kama ni Movies je ni movies zipi ameshiriki? Maana ukisikia wasanii...
Kuna wimbo mmoja wa zamani kidogo najaribu kuvuta kumbukumbu ya jina lake bila mafanikio. Ila bahati nzuri ninakumbuka baadhi ya mashairi yake (nadhani unamuhusu kinyonga ama chura-not sure)...
Harmonize yuko vizuri, ila kwenye hii nyimbo yake amekosea sana kuweka hilo tangazo alafu mtu anae tangaza hajui matumizi ya "L" na "R" anasema inshualensi.
Yote kwa yote nyimbo ipo poa.
Never...
Wakuu kwa wale wanaomfahamu mwanamuziki Alikiba
Hebu taja wimbo mmoja MZURI kuliko zote alizoimba
Na wimbo mmoja MBAYA kuliko zote alizoimba
Naanza mimi
NZURI: RUN DUNIA
MBAYA: HELA
twende...
wakuu kwa wale wanamfahamu msanii diamond platnumz
Hebu taja ngoma yake moja kali kuliko zote na moja mbaya kuliko zote alizoimba
.
Mimi naanza
MBAYA: IYENA
NZURI: UKIMUONA
Me sio muhenga sana ila naukibali sana muziki wa zamani wa dansi, kwanza hauna makelele sauti zinasikika, vyombo vinasikika na ujumbe upo
Wangapi wanakumbuka bendi kama
Kilwa Jazz,
Dar Jazz...
Wakuu,ingawa mimi bado kijana mdogo tu nimekuwa nikivutiwa na muziki wa dansi ule wa zamani uliokuwa ukiporomoshwa na bendi kama Mlimani park, OSS, Juwata,Marquis,Matimila, Bima, Tuncut nk...
Dogo ana kipaji cha hali ya juu sana cha kuchekesha. Anafanya classic comedy. Akiendelea kuongeza bidii atafika mbali sana. Tanzania tuna vipaji vingi sana.
Big up sana Jaymond unafanya kazi...
CHAUSIKU (1)
Ni binti mrembo Chausiku akiwa anavua nguo zake kwenye shamba kubwa la Ndizi pembezoni mwa ziwa Victoria ni ngumu kujua alikua anafanya nini hivyo kwa dhumuni gani labda joto la...
Wadau habari,nisiwachoshe sana,najua kila mpenda michezo haswa ligi yetu pendwa ya mpira wa miguu (Tpl) anayo taarifa ya wachezaji wa Simba a.k.a Omba Omba FC/wazee wa hamsa[emoji112] kupewa...
wa Lugha yoyote
iwe
kiingereza
Kiswahili
Kiarabu
Kireno etc
wimbo wa mapenzi ya dhati nataka kumuimbia shemeji yenu. Hizi za kidunia hazina upako na wimbo mmoja tu '' wimbo uliobora nimeshauzoeap'.
Wadau heri ya mwezi mtukufu.
Moja kwa moja kwenye mada.
Katika pitapita zangu kwenye mitandao account mbalimbali nikagundua kwamba kuna watu kipawa cha kuchekesha wameparamia yaani hawana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.