mikia wanaulizana huko....kama makambo ni vile...huku je kuna makambo wangapi???.....poleni mikia maana hata komba anao
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka sasa Js saoura anaongoza goli mo bila dhidi ya al ahly. Dakika ya 75. Matokeo yakiisha hivi simba atakuwa anaongoza kundi hata kabla mech ya pili hajacheza
Sent using Jamii Forums mobile app
Mshambuliaji wa timu ya soka ya Yanga Heritier Makambo ametoweka katika klabu hiyo bila uongozi kuwa na taarifa yeyote.
Kwa mujibu wa taarifa inaelezwa kuwa Makambo ametoweka na mabegi yake...
Katika filamu chache za kijasusi nilizotazama nimeona mfululizo wa filamu ya Jason Bourne ni bora zaidi, wadau wa movie za kijasusi kuna movie kali yenye mfanano na huu mfululizo?
Sent using...
ni aina ipi ambayo unahisi wasanii tuimbe na inapendwa,itaendelea kupendwa daima kati ya hizi!? GOSPAL au R&B,HIPHOP,ROCK,INSPIRATION,DRUM, LEGAE na freva ya kibongo!? na tuimbe kuhusu nini...
wakuu,,,,waheshimiwa na wadau heshima kwenu,,nipo hapa kuwaambia ukweri kuwa mimi ni msanii wa mziki wa kizazi kipya(bongo freva) kwa yeyote yule anayeweza kunisurpot kwa namna yoyote ile ikiwemo...
Kwa wale mnaopenda Hip Hop hii album ni MUST HAVE...
The King is rightfully back on his throne according to Soundscan. T.I.'s Paper Trail wheeled in close to 570,000 copies it's first week...
Kuna habali nimekutana leo katika .kuperooz .hizi ndio bar zinazoongoza kuwa na wateja wengi vijana na wazee kuliko zingine.....
1.Corner bar...hii bar ipo sinza ndiyo bar inayoongoza kuwa na...
Baba wa Msanii wa Bongo Fleva Ali Kiba, Mzee Saleh Kiba amefariki dunia alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Ya Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.
Taarifa zaidi za mipango ya...
BENDI ya muziki wa dansi ya Extra Bongo Next Level Wazee wa Kizigo, imeibomoa bendi ya African Stars Twanga Pepeta kwa kuwachukua wanamuziki Kalala Junior na Khalid Chuma Chokoraa...
Habari za Jioni wadau,
Leo nawaletea mjadala unaendelea katika vyombo vya habari nchini Kenya. Yapata wiki sasa kumekuwepo na mjadala motomoto huko Kenya, wakijadili kutokucheza miziki ya wageni...
INASISIMUA NA KUTISHA ILA INAFUNDISHA
Katika kijiji cha Matare wilaya ya Mugumu
Serengeti, bwana Wambura alikamatwa kwa kesi
ya kusingiziwa na kuhukumiwa kwenda jela
miaka mitatu. Huku nyuma...
Napenda video zake zinafurahisha. Ni actual original videos Ila maneno sio original yaliyozungumzwa kwenye tukio. ni sauti na maneno ambayo yanapandikizwa kwa kuangalia matendo na midomo ya...
Mwanzoni nilivyoisikiliza, nikajua anamdiss video queen, Tunda.
Baada ya kuusikiliza sana, nimekuja kuhisi ni kama anamdiss young dee hasa katika verse ya mwisho.
Je wewe mdau, umeuelwaje wimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.