Tunaendelea..
Msanii G - solo : Nilikuwa katika Album Yao " Gangster with Matatizo " G.w.m" inaitwa " Mikosi"
Album ambayo ilikuwa ina nyimbo kama vile.
Side.. A.
1. Yamenikuta
Featuring –...
Kwa Tuhuma zinazoendelea za Pdiddy huko marekani na hasa ya kujihusisha na mapenzi ya Jinsia moja na kulazimisha watu kufanya hivyo na hasa kulawiti baadhi ya watu na kingine kuwafanya watu sexual...
Daktari alimshauri Hamza kutokuugusa mwili huo sababu hilo ni tukio la Mauaji.
Tayari wapelelezi walikua hapo wakiongozwa na Agent Daudi Mbaga aliyekua kiongozi wa wapelelezi hao, pia gari ya...
"Siku mapigo yangu ya moyo mwisho yatapogota,
Nuru itazima mfano wa Nyota inavyodondoka,
Sitaweza kuamka tena macho yangu yatapofumba,
Safari imewadia naenda kwa baba muumba,
Masela nawaachia...
Madaraka ya Kulevya
Lyrics
Madaraaaa Madaraka x2
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2
Nikki wa Pili
Mjini nimedondoka...
Part 2: Yanayonikuta London, Uingereza - Part 2
Mimi nimeishi London - UK kwa muda mrefu sasa hivi. Kufanya stori ndefu kuwa fupi, ninaishi kwenye share accommodation na watu kutoka West Africa...
ALICIA KEYS
Leo ' tunaangalia nyimbo 3 alizofanya kama collabo msanii, Alicia keys
Ni ipi kali zaidi hapa?
A. 50 Cent - New Day ft. Alicia Keys, Dr. Dre.
B. Empire state of mind (feat. alisha...
Habari wanajukwaa, kuna softcopy kadhaa nnazo za hadithi tofauti nkaona si vibaya ku-share ikizingatia watunzi wake wameziweka public hivyo kutohesabika kama wizi wa kazi za watu au kuharibu...
Niliwahi sema kuwa The Sopranos ndiyo series kali ya muda wote, nilikuwa sijaangalia The Wire. Hakuna series kali kama hii. Ni kama unaangalia maisha halisi ya watu. Hii series hadi vyuoni...
Wana JF, msaada Kwa anayeifahamu jina la movie Fulani ya zamani sana, watu wanaliwa na kuvamiwa na simba nyumbani kwao. Siikumbuki jina coz niliona miaka ya nyuma sana. Kwa anayeikumbuka au...
Nilivyomuona mwaka juzi au mwaka jana mwanzoni na nilivyoona alivyo sasa si tu nimesikitika bali nimechozika pia.
Naomba Bendi zote za Dansi nchini Tanzania ziandae Tamasha kisha Kiingilio chote...
Mwaka huu umeweka alama nyingine muhimu kwa muziki wa Afrika baada ya Tyla kushinda tuzo ya "Best Afrobeats" kupitia wimbo wake maarufu "Water." Tyla, wa Afrika Kusini ameshinda tuzo hiyo katika...
Hapa naangalia Wasafi TV.
Naona wanaplay nyimbo ya HAKUNAGA ya Suma Lee ambaye kwa sasa ni mfia dini alisilimu muda mrefu sana.
Imekuaje wamepiga hii nyimbo wakati mwenyewe alizuia hili suala...
Disclaimer: hii ni hadithi ya kufikirika, ukikutana na typing errors skip hata mimi ni binadamu nakosea
Tiririka.......
SEHEMU YA KWANZA (01)
NGRIIIIIIIII, NGRIIIIIIIIIIIIIII...
Steven Charles Kanumba is my name, i was born in a Christian family of 2 girls and i happen to be the last born and the only boy to Mr. & Mrs. Charles Meshark Kanumba.
I was given birth on...
Kama wewe ni shabiki wa dj mack jumakhan Murphy Nk basi kuna chimbo lenu lakujipakulia mizigo kama yote...Mchawi bando lako tu.Ingia google tafuta SIZONI COM humo nikujichotea tu.
Pia kuna huduma...
Habarini za mchana,
Ijumaa nilipokea mwaliko wa kuhudhuria MAHAFALI ya kidato Cha NNE huku nyanda za juu, kiukweli nimekumbuka mengi sana.
1.KWAYA
"Haikuwa rahisi kuifikia siku hii yenye...
Katika tamasha la kipekee la DSTV Delicious Festival, wasanii nyota Diamond Platnumz, Chley, na Khalil walipiga show ya kali, wakitumbuiza pamoja na Jason Derulo. Hii ilikuwa ni mara ya kwanza kwa...
Hizi nioja ya animation kali nilizowahi kuangalia
1.nezha
2.nezha reborn
3.Raya and the last dragon
4.Coco
5.Luca
6.The white snake zote mbili
7.How to train your dragon ZOTE
8.Spy in disguise...