Kwema wakuu
Aisee jana nilienda kuangalia movie mida ya usiku, nilikaa mbele ya mdada flani ivi ambaye mwanzoni nilidhani atakuwa mtaratibu tuu kwasababu alivofika alianza kusalimia watu wote wa...
Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka.
Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja...
Nimekaa natafakari wasanii na muziki wetu huu wa Bongofleva ya sasa na ule wa zamani (old school).
Kiukweli nimegundua kuwa wasanii wa sikuhizi sio wabunifu ingawa utandawazi na teknolojia...
Nimepokea messages nyingi sana toka kwa wanaJF wengi kutaka kujua maoni yangu kuhusu suala la Diddy kwasababu mimi ni shabiki mkubwa wa muziki wa Hiphop na mtu mwenye akili mingi. Nilikuwa sitaki...
Kwa kilichotokea mbeya, Msanii wa WCB kwajina maarufu ZUCHU kuwanyooshea mashabiki kidole cha kati kisha kuanza kurushiwa mawe na chupa za maji na baadhi ya Mashabiki walioonesha kukerwa na...
1. Child 44
2. Happy Death Day 2U
3. Venom:Let There be Carnage
4. The Collector
5. Righteous Kill
6. Child's Play
7. Luther:The Fallen Sun
8. The Girl with Dragon Tattoo
9. Summer of 84
10. Hot...
MSANII G - SOLO
"Msanii wa Tanzania Gerald Mwanjoka ‘G-Solo’ aliyewahi kurekodi wimbo mmoja na msanii maarufu wa hip hop wa Marekani LL Cool J uliojulikana kwa jina la Hip Hop Is Everywhere...
ZOTE ZA AKILI.
"ZOTE ZA AKILI" ni project ama jina la Album iliyotoka Mwaka 2004, chini ya Usimamizi wa Akili the Brain ambae alikuwa ni mmliki , producer & msanii kutoka studio za " Akili...
Hivi harmonize ni kama game limemshinda kabisa hakuna wimbo wake unao hit sana ni kama mziki umemshinda show now anapiga za humu humu ndani njee, sio kama zaman au jamaa. Ndio kafirisika.
Leo tujikumbushe kidogo album ya mwanamuziki wa Kikongo Noel Ngiama Makanda maarufu kwa jina la Werrason iliyotoka mwaka 2001. Mpaka leo hii mi nazisikiliza sana bolingo kiukweli hazichoshi na...
Orodha ya Nyimbo (Video) kumi (10) za Diamond Platnumz ambazo zenye idadi kubwa ya Watazamaji (Views) kwenye mtandao wa YouTube katika historia yake ya muziki.
1. Yope Remix : +236M
2. Waah ...
Zimetungwa nyimbo nyingi sana katika Kiswahili ambazo zimepewa majina ya kike. Karibu zote zinahusu mapenzi, manung'uniko ya mapenzi, furaha n.k Nyimbo hizo zimebakia katika mioyo ya watu wengi na...
KIITIKIO:
Haijalishi we ni nani, haijalishi we ni tajiri au maskiniiii
(Huwez kuona hivi)
Haijalishi we ni nani, ukiupata, usubiri kifoo ooo.
(Story ya mshkaji mmoja hivi)
Haijalishi we ni nani...
Ilikuwa ni mwaka 2017 nikiwa naishi mkoa wa Morogoro wezi waliiba laptop tatu , mbili mpya na moja ya kwangu ya mda mrefu
Nikiwa mkoa mwingine nilipigiwa simu kuwa dirisha la chumbani kwangu...
BONG FLAVA YA KUIMBA TOFAUTI NA RAP
20: Ali Kiba - Mwana
19: Diamond - Mbagala
18: Dully Sykes - Dhahabu
17: JI - Kidato Kimoja
16: 2 Berries - Na Wewe Tu
15: Dully Sykes - Dhahabu
14: Z...
SEHEMU YA 1
A.PUNDA MWANA PUNDA!
Juzi nilipigiwa simu na shoga yangu Harrieth akaniambia mume wa shoga yetu anamtakaa Kimapenzi…. Yaani awe mchepuko wake ….. amemsumbua miezi 3 sasa na anapanga...
Tunaendelea pale tulipoishia kwenye kipande kilichopita , mahojiano yangu " Ukwaju wa kitambo na msanii " G solo"
Msanii G solo : Kaka yao na wale kina Dada Crew ya " Unique sistes" ilinipa...
Khloé Kardashian amezungumzia sherehe za Sean “Diddy” Combs kwenye kipande cha episode ya “Keeping Up With the Kardashians” kilichoibuliwa baada ya msanii huyo kukamatwa kwa tuhuma za usafirishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.