Jamboo!
Wakuu kama kichwa cha mada kinavyo jieleza hapo juu naomba hiyo ikitokea mniambie nitakuwa hapa panapo majaliwa. Binafsi ni mpenzi wa kutizama na kufuatilia filamu na tamthilia mbali...
JINI WA DARAJA LA SALENDA.......EP.1
Majira ya saa nane za usiku msichana Suzana alikuwa akitoka kujirusha katika ukumbi wa Bilicanas. Kilichomshtua kilikuwa kutoweka kwa mpenzi wake Sammy ambaye...
Wakuu Tamasha maarufu la kitamaduni nchini Uganda, ‘Nyege Nyege’ sasa litafanyika baada ya awali Bunge la nchi hiyo kutaka kusitishwa kwa madai ya kuruhusu vitendo vya uasherati.
Kwa mwaka huu...
MTUNZI : SELOPHEADY H. MAGEMBE
HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA
Huruhusiwi kunakili au kutumia sehemu ya hadithi hii bila ruhusa ya mwandishi.
Nilikua nimehitimu masomo ya shule ya upili na kuchaguliwa...
Riwaya hii ni ya kubuni, hivyo mfanano wa matukio wa ndani ya Riwaya na maisha halisi unayoyaishi ni shabaha tu ya fikra za Mtunzi. Karibuni nyote kwa wingi
MABADUNI WA SERIKALI
Utangulizi...
Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa...
Hivi ndo vipengele vya Tanzania music awards 2024 (TMZ)
1, wimbo bora wa taarab wa mwaka . Malkia Leyla Rashid(watu na viatu), Mwasiti Mbwana(sina wema), Salha (dsm sweetheart), Mwinyimkuu(bila...
Wakuu,
Ila BASATA mmekuwa zaidi ya mizigo! Kwa hawa watu wote wanaotekwa na kuwataja polisi 🤣 🤣 au wenzetu hamjui Kiswahili. Mapana naona ndio utakuwa kiongozi kituko kuwahi kutokea tokea...
Hizo sauti za xxxtencion, juice world in Ai generated na ngoma kali
https://www.youtube.com/watch?v=W41Zg2sxsOc
Hata hiii ya xxtencion ni Ai generated
https://www.youtube.com/watch?v=mvQBbPReWbo...
Wakuu hii ndo list ya wasanii wa hiphop waliokufa kwa kupigwa risasi
[emoji419]Scott la rock 1987,age 25
[emoji419]Paul c 1989,age 24
[emoji419]Danny de boy 1990,age 22
[emoji419]Charizma...
Waziri wa Ulinzi wa Israel, bwana Yoav Galant, amesema kuwa shambulio la Iran la hivi karibuni lilikiwa kali lakini lilishindwa, kwa sababu hakuna radilimali za kijeshi za Israel zilizoharibiwa...
MAKABURI YA WASIO NA HATIA (GRAVES OF THE INNOCENTS)- 1
JINA langu naitwa Togolai Mahimba, ni mtoto wa mwisho kati ya watoto saba wa baba yetu, Sinai Mahimba ambaye kwa sasa ni marehemu. Baba...
Mhadhara - 40:
Wakati ule tulikuwa tuna idadi kubwa ya wasanii waliopeleka ujumbe mzuri kwa jamii na serikali. Hakika walikuwa ni kioo cha jamii kweli kweli. Hawakupata hela lakini walituachia...
Sikusema nae nilipomuona ufukweni,
Hakuniona nataka kumsuprise baby girl,
Mtu mwingine akaja mshika bega kabla yangu,
Kusimama Nashangaa Mara wanakiss na baby wangu,
Ile ki-silencer nagubwikwa na...
Habari,
Moja ya sanaa ambayo inanichanganya hapa bongo. Ni bongo movie. Najiuliza Hii Tasnia ya sanaa hawa wahusika wanapataje hela?
Mabadiliko makubwa ya Technolojia kutoka vhs, cd, flash na...
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amekuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika Mashariki kuchaguliwa kuwania tuzo za MTV Europe Music Awards kwa mihula mitano, akiwania vipengele sita...
Ni vizuri wale wana ojua chimbuko la muziku wakatupatia historia yake fupi.
Pia naiona ni kama modern zouk hivi (zouk iliyochangamka)
Kwa wale wasiojua style ya kompa kibongo bongo wasikie wimbo...
Hollywood ni kitovu maarufu cha tasnia ya filamu nchini Marekani na duniani kote. Historia yake inaanza mwanzoni mwa karne ya 20. Hapa kuna muhtasari wa historia yake:
1. Mwanzo wa Karne ya 20...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.