Wakuu,
Ninawiwa Kuhuanzisha Uzi Huu Ili Kuwaleta Karibu Wapenzi wa Nyimbo Za Injili za Zamani!
From the 80s,90s and the Early 2000s!
Kuanzia Barabara 13,Aict Shinyanga,Kijitonyama Upendo Group,Na...
HEKAYA ZA ABUNUWASI
KISA CHA ABUNUWASI NA MFALME
SIKU moja alfajiri, wakati wananchi wa mji wenye wakazi wengi walipokwenda kuchota maji mtoni, walishangazwa kuuona mkono wa mtu ukiwa katikati...
1. VACANCY.
Baada ya kumpoteza mtoto wao wa kiume, familia ya David na Amy haijapata kukaa sawa tena. Wamepoteza furaha yao na wanatazamia kuachana hivi karibuni.
Wakiwa safarini, ndani ya gari...
Soma mashairi ya wimbo SITAKI DEMU wa Juma Nature na ule wa Doing just fine wa Boyz II Men uone tofauti.
Title: Sitaki demu
Artist: Juma Nature
(Verse 1)
Nakuomba usije kwetu mamdogo utatia...
Karibu kwenye mzigo huu mpya kabisa,
By CK Allan
0746 266 267
Viumbe hatari... Dangerous creatures
1
Mwaka 2030
Sauti ya televisheni ilisikika,
nilikodoa macho kwa utulivu mkubwa nikiwa...
Hawa BASATA mbona hawaeleweki? Naona wamelaani mashabiki na wamesahau kumfungia Zuchu kwa kutukana hadharani. Je ishara ile kwao sio tusi?
Au kwakuwa amesema mitano tena basi sheria za BASATA...
Salamu kwenu wabamuziki na wamiliki wa bendi za muziki wa dansi.
Kwanza niwape hongera kwa kazi nzuri ya kuburudisha, kuelimisha na kuhabarisha jamii.
Pamoja na kuwa mlifanya kazi nzuri sana...
MSANII wa muziki wa singeli, Mohammed Rashid maarufu Mzee wa ‘Bwax’, mwishoni mwa wiki alifanya onyesho la aina yake katika Tamasha la chakula la Coca-Cola maarufu ‘Kitaa Food Fest’ Mbagala...
Kipi kinafanya filamu iwe bora? Majibu ya swali hili hutegemea mtu na mtu. Wengi tutazungumza kuhusu storyline, casting, cinematography, background score (mfano, soundtracks), dialogue, message...
Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza.
Kuna ngoma kali kuishinda hii?
https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
Naomba kupatiwa jina la wimbo huu wa tangazo la salama condoms. Ilikuwa ni miaka ya 2004-2005..kuna mwanaume na mwanamke wapo ndani sebuleni wanajiandaa kufanya mapenzi, mwanaume akakumbuka kitu...
Habari wana hilijukwaa
Kuna wimbowa ki nigeria wenye lyrics baadhi zinazosema "... Just one more question...", naomba nifahamishwe unaitwaje
I love the song
Aasanteni sana
Kwanza nawapa salamu, nazingatia itifaki/
Nadhani Mvumbo mnamfahamu, kwenye mistari mimi ndiye chaki/
Naandika zaidi ya kalamu, mwana Hip hop kindaki ndaki/
Ma mc's wa Jamii Forums, karibuni nyuma...
1. Special Ops:Lioness
2. The Little Drummer Girl
3. Alex Rider
4. The Enemy Within
5. Rabbit Hole
6. Pine Gap
7. Fleming:The Man Who Would Be Bond
8. Allegiance
9. Agent Carter
10. Treason
11...
Naimani humu kuna wakali wa kutunga mashairi ya mapenzi hasa yale ya kusifia uzuri wa mwenzi wako , kumuonyesha ni jinsi unavyompenda na kumjali na pia kuna zile lyric hasa zinaelezea usaliti...
Heshima kwenu wote.
Kuna jambo nimeliona katika pita pita za mtandaoni kuhusu katuni ya Simpsons, kuhusu kutabiri matukio ya jayo katika episode zake.
Jambo ambalo nimeliona wametabiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.