Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Ipo YouTube imetoka Jana .Ni ngoma Kali sana
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Salaam wadau wa burudani Mwenye nyimbo ya K Basil inaitwa "Bahati haiji Mara mbili" (Chozi) anipatie nna Shida nayo Asanteni
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Audio: ZAIID Ft. G Nako – Cha Arusha - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Audio: Rudeboy ft Patoranking – Together - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
2 Replies
2K Views
New Video: Navy Kenzo Ft. Diamond Platnumz – Katika - SYLI CLASSIC MUSIC
0 Reactions
2 Replies
31K Views
Wadau mwenye ujuzi wa Kuedit jina mfano kimatu na kufanya maandishi yawe kwenye mundo fulani kama mlazo n.k
1 Reactions
1 Replies
781 Views
Hallow, Kuna watu ambao hawana wazazi/mzazi sasa wao wameishachoka maisha na kukata tamaa kwamba humu dunian hakuna furha kisa wao ni Yatima, hapana yupo Mungu ambae ni baba wa Yatima. Burudika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakati wapenzi wa boxing tukisubiria kwa hamu pambano la Deontay Wilder na Tyson Furry kabla ya kuwakutanisha Wilder na Anthony Oluwafemi Olaseni Joshua (A.J). Tarehe 15 September katika ukumbi...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Burudaniii toshaaaa Mi sina neno. Jionee mwenyewe.
0 Reactions
0 Replies
720 Views
Released Sept 2018
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Usiku wa jana mambo yalikuwa hivi katika hoteli ya Gold(Gold hotel zanzibar) iliyopo Nungwi,Simba arts group tuliwajibika kikamilifi. Bado tunakaribisha mialiko yenu tunapatika Zanzibar 0718923981
0 Reactions
0 Replies
801 Views
Kwa siku kadhaa nilizopo hapa Mbeya kumekuwa ma mwingiliano wa mawimbi ya redio yenu (88.5) na redio kiss FM (88.3), kila baada ya muda kidogo. Hali hii inakera. Chukueni hatua tafadhali. Sent...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa wale woote tunaoifatilia series ya Into the Badlands tukutane Hapa tushare vitu vilivyotuvutia kwenye series hiyo; Binafsi namuelewa sunny & his family Imeniuma saana shemela kudanja pia Big...
0 Reactions
87 Replies
12K Views
wengine wanalia sababu ya kupenda lakini wameachwa... wameachwa wengine wanapigwa bado wang'ang'ana sababu ya mapenzi... wengine wafumania lakini waendelea sababu ya kupenda wengine wajiua wao...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Naomba kujua kama kuna mtu anayewafahamu watengenezaji na wauzaji wa wristband tickets!?
0 Reactions
0 Replies
504 Views
Huyu akapimwe mkojo
2 Reactions
1 Replies
859 Views
Hyu tutampima mkojo
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Umofia kwenu wana JF, Nimeusikiliza kwa makini sana wimbo wa Gozbert Goodluck - Shukrani na Wimbo wa Shalom Chris - My Beautifier naona kama melody zinashabihiana kiaina. Inawezekana nikawa...
0 Reactions
0 Replies
973 Views
Kuna huu mchezo mpya unaitwa bonanza a.k.a Dubu ni mchezo mpya wa kamali umeletwa na wachina,watu wengi mnanaufam. huu mchezo ningeomba serikali muwaambie hao wachina waweke sehemu maalum ya...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Baada ya kutulia na kusikiliza nyimbo za miamba hawa wawili toka pale Jiji la Kinshasa huko Jamuhuri ya Congo DR. Sasa ni rasmi huyu Mwamba Ferre anaMuziki wa kulevya sana. Pia nyimbo zake nyingi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom