Wadau naomba kama mnafahamu mahali ninapoweza kupakua makala mbali mbali (documentaries) mfano,Who build America,Escoba na zingine kama za ujenzi,viwanda,uchunguzi etc
Asanteni sana
Genevieve Nnaji's 'Lionheart' Becomes 1st African Netflix Original Series
Genevieve Nnaji's Directorial Debut 'Lionheart' Has Been Picked Up By Netflix. Ahead of its world premiere at the Toronto...
Nawakaribisha kusikiliza Nyimbo Mpya ya Kwake MBOSSO , Wimbo Unaitwa "HODARI"
Umetengeneza na Lizer Classic Kutoka wasafi Records
BONYEZA HAPA KUSIKILIZA AUDIO : Mbosso - Hodari | DOWNLOAD Mp3...
Muziki wa dansi ni muziki ambao umekuwepo nchini kwa muda wa miaka mingi.. Kwa takribani miaka mitatu sas muziki wetu huu umeyumba. Wadau tunafanya juhudi za kuurudisha muziki huu kwenye heshima...
Kwa playlist hii, mdada yoyote atakuelewe hasa mida hii.
NYIMBO ZA JAMAA NI SHIDA. HAYA, USIKU UMEFIKA, TUSIO WALEVI WA POMBE TUKO KWENYE ULEVI WETU PIA.
Piga hatua jiongeze,ndio motto wa BSS 2018...Walter chilambo,Frida Aman,Kayumba,Kala Jeremiah ni zao la mashindano haya..get ready for new singing talent...
Yanarejea...
Kwa kweli hili game liko poa hatar ...I'm very very addicted.... ila nimehisi labda kuna zuri zaidi na so vibaya kuuliza.....je naweza pata game zaidi ya hilo ...???
Ukisikiliza nyimbo za diamond na wasafi wanaimba kuhusu ngono tu.
Ukija nyimbo mpya ya maua sama nayo ngono
Wimbo wa moto hauzimi ni ngono tu
Diva na richmavoko ni ngono tu
Hata Roza Lee Ngonon tu...
Wale tunaoshabikia mchezo huu japo kwa nchi yetu tumebaki wachache sana ila ni vyema kuendelea kujadiliana yanayojiri. Tarehe 15/09/2018 kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka wa marudiano kati...
Hiki kipindi ni cha ajabu sana. Shafii Dauda anachapia mno kila anapojaribu kuongea kingereza na vile vile kipindi wanakifanya kama vile wako maskani wanapiga story tuu. Hivi kweli wanakosa hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.