“STARTER the EP” Officially Out now Worldwide, Stream on All Music Streaming Platforms, Enjoy!!!
Bongo Flava Ndio Fahari Yetu, “STARTER The Ep” iko Hewani Kete ziko saba chaguo ni lako. Enjoy
As...
WHEN YOU DON'T KNOW WHERE YOUR FROM YOU CAN'T KNOW WHERE YOUR GOING "PRODUCER & DJ BONNIE LUV....
(PRODUCER & DJ MAWINGU STUDIO)..
Historia ya " Mawingu studio" na Band ya Mawingu " Mawingu Band"...
Hii nyimbo kwa wanao ifahamu ilikuwa nyimbo ya maana sana. Anasema Bado ni kiza na marashi ya dunia hayasikii anajihisi yupo kuzimu anaishangaa sayali hii, iliyojawa wanasiasa, Vicheche na...
Hadithi fupi!
SITOSAHAU ALICHONIFANYA DAKTARI WA SARATANI YA MATITI
SEHEMU YA KWANZA
Muwasho na maumivu vilizidi katika maziwa yangu siku hadi siku, nilivumilia nikajikuta nashindwa ndipo nikaomba...
MFUMO WA UUZAJI WA ALBUM AMA KAZI ZA WASANII..
Wasanii wa Tanzania wana sababu nyingi sana za kwanini hawatoi album. Baadhi ya sababu kama kufa kwa mfumo wa uuzaji wa album uliokuwa ukifanywa na...
MAMA NDIO CHANZO CHA WIMBO WANGU ( KIBANDA CHA SIMU )BY SOGGY DOGGY
Soggy Doggy amesema chanzo cha yeye kuandika wimbo huo ni baada ya mama yake kupenda kufungia simu yao ya mezani ili kuogopa...
SOGGY DOGGY ANTER.
Jamvi la Ukwaju wa Kitambo lilibahatika kupiga stori na Msanii mkongwe katika Game ya Bongo fleva soggy doggy.
Tulibahatika kuzungumza mengi ila kwa faida ya wafuatiliaji wa...
Nguli Wa Muziki Ya Bongoflava Professor Jay Amekutana Na Alikiba Hii Ikiashiria Kuwa Kolabo Yao Iko Jikoni . Wiki Jana Nilipata Nafasi Ya Kuongea Na Professor Jay Akaniambia Kuna Kazi Wanawachilia...
Malalamiko dhidi ya Miley Cyrus yanadai kwamba wimbo 'Flowers' usingekuwepo bila wimbo wa 'When I was Your Man' wa Bruno Mars na kutaka uzalishaji na usambazaji wa wimbo huo
Aidha, kesi hii...
Skin head, dead head
Everybody gone bad
Situation, aggravation
Everybody, allegation
In the suit, on the news
Everybody, dog food
Bang bang, shock dead
Everybody's gone mad
All I wanna say is...
Nimeangalia hii series ya wenzetu wa KOREA Nimegundua yafuatayo
1. Wenzetu wana wekeza sana kwenye teknolojia na futuristic/ kutafuta solution ya maisha ya baadae na kugundua teknolojiaa mpya ...
Rapa na mfanyabiashara ‘Diddy’ ameripotiwa kunyimwa dhamana baada ya kudai kuwa Hana hatia katika mashtaka ya kingono yanayomkabili na hivyo ataendelea kubaki rumande hadi pale kesi yake...
LB FT DULLY SKEYS & SNA LEE.
Chorus...( Dully sykes)
"brandi brandina I love You , brandi brandina I need You...
brandi brandina nakupenda , brandi brandina nakuhitaji... × 2
Verse 1. ( Lb)...
https://youtu.be/fE6XAeZfAsk?si=UclWa-JqLqNMimLJ
https://youtu.be/MLlSSJ0z7xM?si=cmUet6D4DYIAqhvU
Je wajua video hii ya wimbo wa dancing in the flames kutoka kwa mkali wa pop kutoka Canada the...
Wakuu nisiwachoshe, Msinichoshe, Tusichoshane,
Kuna vijana wanaimba mziki mzuri wengi wao wapo mitaani na hatuwajui wala hawajapata nafasi ya nyimbo zao kusikika kama waliopata bahati ya...
AY FT BANANA ZORO & COMPLEX - MCHANGA WA MACHO ..
CHORUS..( BANANA ZORO)
BANANA ZORO..
"nilijaribu kukupenda na mema mengi kwako nilitenda/
moyoni mwako sikuwapo kumbe ulikuwa mchanga wa...
UKWAJU WA KITAMBO
NITOKE VIPI - BWANA MISOSI FT HARD MAD VS NIMECHEZEA BAHATI - MAN X FT DULLY SYKES..
______________________________
studio ya Bongo Records ndiyo nyumba kuu ya upishi huu...
PROFESOR JAY FT CHID BENZ - MSILIE. ( PRODUCER LAMAR) 41 records..
Verse .. 1.
Yeah! Na muomba Mungu ili tuweze kuyakabili/ yanayojili mengi wahenga waliyatabili/ ona nyumba za ibanda leo...