SIMULIZI ZA MANUFAA: “KULIMA NALIMA, LAKINI NI KAMA SILIMI - 1”
MTUNZI: PAUL MPAZI “MABANDA”
SIMU: +255 621 087533
Email: paulmpazi22@gmail.com
Busara za Mwandishi: "Katika maisha, juhudi na...
Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo...
Baadhi ya nyimbo zinakuwa zina capture moments...yaani nyakati Fulani hivi ...na mood ya Taifa au ya walio Wengi wakati huo...
1. Nipe Tano - Daz nundaz..
Huu Wimbo unawakilisha nyakati ..kama...
Dansoooo
Aiiii weweewee
Baby nipost kwani mi si mali yakooo...unamuogopa nani?!
Baby nichumuu kwani mimi si mali yako unamuhofia nani??.
Ni sehemu ya maneno ya huu wimbo wa Mario...
UTANGULIZI
Hadithi hii ilipigwa chapa kwa lugha ya Kiingereza katika mwaka 1885. Katika mwaka 1905 Bwana H. Rider Haggard aliandika maneno haya: 'Sasa katika mwaka 1905 naweza kuzidisha maneno...
Nilipenda sana sauti yake nzito katika movie mbalimbali kama vile King Mufasa (The Lion King), King Jaffe Joffer wa Zamunda (Coming to America) na Director wa CIA (Clear and Present Danger)...
Remmy Ongala Wimbo Wema👇👇
https://youtu.be/Cb1zTXHT324?si=HY9qWMpUL0M7wpMm
Nimekaa nasikiliza nyimbo ya Remmy Ongala huku nikitafakari mienendo ya Siasa za Africa. Tuna safari ndefu sana naamini...
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ndio nimeitazama series ya Game of thrones kabla ya hapo niliishia tu kuwa msomaji wa baadhi ya nyuzi zinazohusiana na uchambuzi wa movie ama kweli ni movie...
NIMESHINDWA KUISHI KWA MAKOSA YANGU MWENYEWE.
Lovi Pius Kijogoo
0757 238 304 ( WHATSAAP )
SEHEMU YA KWANZA.
NYAKATO KWA SAA NANE SOKONI.
"Karibu dagaa safi kabisa. Nguo unapata kwa shilingi elfu...
Wakati Waandaji wa Tamasha la Super Bowl Halftime wakimtangaza Kendrick Lamar kama mtumbuizaji mkuu, mjadala umeibuka Mitandaoni, baadhi ya mashabiki wakimtaka Rapa Lil Wayne
Katika mijadala...
Imeandikwa na Lello Mmassy
UTANGULIZI
Naitwa Joseph Kaduma Ndani Ya Serikali Ya Nchi Ya STANZA Watu Hupenda Kuniita Joe.Nina Nusu Saa Tu Ya Kuamua Kati Ya Maisha Yangu,Familia Yangu Na Utajiri...
Habari za Majukumu na uzima Wakuu......
Hivi ni kweli ETV wamekuwa excluded kwenye list channels za AZAM TV ........?
Maana siku hizi ni miezi miwili vhivi iliyopita nkilipia vifurushi vya...
FAMILIA YA ZORRO MIONGONI MWA FAMILIA ZILIZOTUNYIMA KOLABO KALI.
Sikumbuki ni nani alikuja na wazo la kutengeneza albamu iliyoitwa BABA NA MWANA! Ilikuwa ya moto sana na ilikuwa na ladha TOFAUTI...
Mfanyabiashara maarufu, Fred Vunjabei amemtolea uvivu Mwijaku na kumtaka aache kumhusisha na ishu za utajiri, baada ya Mwijaku kudai kuwa Fred ana utajiri mkubwa kuliko Diamond Platnumz, wakati...
Nina furaha nimerudi tena uwanjani hapa ikiwa ni toleo langu la saba sasa kuhusu movies mbalimbali. Ni matumaini yangu mko salama. Sasa Weekend ndo' hiyooo inasogea, wengine hatuna mambo ya clubs...
Movies/Sinema/Series nyingi pendwa na zenye kutamba unakuta zimegewa a.k.a ambazo hufanya watu wasijue jina halisia...
Leo nataka watu mtaje a.k.a /majina ya utani ya hizo sinema wengine...
😂😂 hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.