Wakuu mbali mbali niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni mpenzi mkubwa wa hii tv show inayofahamika kama GOT na ninaamini ni series bora ya muda wote tangu kuumbwa kwa Adam(mawazo yangu)...
Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo imeanza kutangaza Vipengele vya wanavyowania tuzo za muziki nchini kwa kuanza na vipengele vitatu ambavyo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora...
Disclaimer:imesimuliwa na Martin Izze
Chimbuko la muziki wa kizazi kipya tanzania na maana halisi neno Bongo Flava (SEHEMU YA KWANZA)
Moja kati ya mambo niyapendayo mno maishani ni...
Rapa Rich Homie Quan (34) amefariki dunia leo Alhamisi Septemba 5, 2024 na taarifa za kifo cha msanii huyo zilianza kusambaa mtandaoni, huku wasanii wenzake kama Boosie Badazz na wengine wakituma...
Waliosoma miaka hiyo hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000 nadhani hapa mnaweza kukumbuka mengi.
Tusipoteze muda twende moja kwa moja kwenye top ten yenyewe;
1. End of the road - BOYZ II MEN
2. I love...
intro
Mokili ekoti matata di
The world is full of troubles
Eric Mandala le docteur des ignorants et Maria Piron
Eric Mandala the Doctor of the Ignorant and Maria Piron
Wo-wo-wo-wo...
Habari za asubuhi wakuu Nina story fupi ya mtoto wa miaka 8 alifanya nijute kukaa UGENINI lengo la story hii tujifunze na tukemee vitendo visivyofaa kwenye jamii ili kudhibiti matukio ya ubakaji...
habari za majukumu wadau. naombeni yeyote ambaye ana wimbo wa tenzi za rohoni ulioimbwa kwa english anisaidie. iwe video, audio au jina la wimbo na jina la aliyeimba. natanguliza shukrani
Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo.
1. SECRETARY
Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee...
Wimbo wa NI WAJIBU KUMShuKURU BABA NYERERE WA HAYATI Capt. JOHN KOMBA, HAUCHUJAGI
Tukielekea katika kuadhimisha kumbukizi ya maisha, kazi na kifo cha hayati Baba wa Taifa Oct 14ijayo,
Hebu pata...
Habari zenu wakuu! Natumaini mko poa na ni wazima wa afya hasa watu wa jukwaa hili la entertainment.
Nisifanye ajizi na niende moja kwa moja kwenye mada.
Mapema mwaka huu BASATA walitangaza...
Nisikuchoshe na usinichoshe,tusichoshane!.
Mimi ni mdau wa series hasa za crime & drama, sasa baada ya kuitazama series ya Prison Break kwa kuirudia mara kadhaa na kujiridhisha kwa mambo kadhaa...
Kwa wale wa audiomack
https://audiomack.com/icardi-b/song/uwezo?share-user-id=135273533
Kwa wale wanaotaka audio hio hapo...
Comment if u need to...share if you like it
Series hii imesheheni kila kitu: kiwango cha juu cha kufikiria na kutumia akili. Profesa alikuwa best leading character bila kumsahau tokyo na nairobi. Hapo sasa bado hujakutana na berlin, denver...
Huu wimbo wakati ule ukiimbwa nilikuwa mdogo sana ..lakini maudhuhi yake yalikuwa yananifurahisha sana...manake vijana wadogo wadogo wa wenzi hizo...radio yetu ni moja na nyimbo nzuri nyingi za...
Pamekuwa na pm nyingi watu wakiomba link ya simulizi ambazo nimeshawahi kuziweka majukwaani. Mara nyingi nimekuwa najitahidi kuwapatia hizo link, ila muda mwingine nashindwa.
Nimeamua...
Naanza mimi
1. Into the Badlands (American)
2. The 100 (American)
3. The Shannara Chronicles (American)
4. The man called God (Korean)
5. The City Hunters (Korean)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.