Miriam Thomas Chirwa, anayejulikana kwa jina la "Mwinjilisti Miriam," alizaliwa tarehe 15 Septemba 1998, akiwa na ulemavu wa macho
Alianza safari yake ya muziki akiwa na umri wa miaka 6, ambapo...
BEFORE I DIE
SEHEMU YA KWANZA
Ni Edson Benard pekee ambaye hakuungana na familia yao jioni hii ya katika mapokezi ya mdogo wake Innocent anayerejea nyumbani baada ya kuhitimu shahada ya kwanza...
Uzi huu utakuwa mahususi kwa ajili ya kutuma simulizi hizi mbili kwa wapenzi wasomaji wangu. Simulizi hizo nazo ni: ANGA LA WASHENZI na JOANA ANAONA KITU USIKU mpaka vikomo vyake.
Karibu tufurahie.
Wakuu karibuni katika riwaya hii inayoitwa 'Kijijini kwa Bibi', au 'mnyonya damu', kama ambavyo wengine hupenda kuiita. Mtunzi wa riwaya hii ni yule yule wa 'Mkono wa Chuma' na 'Sala ya Sarah'...
Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio...
Zee ni mwanamke maarufu anayeishi Paris ambaye huajiriwa mara kwa mara na Finn, raia wa Ireland anayefanya kazi kwa bwana wa uhalifu Jules Gobert, ili kuwaondoa wapinzani wa Gobert katika biashara...
Habari za wakati huu ndugu.
Kwa wale wapenzi wa movie kali. Kuna dini hapa.
"The Lair" ni filamu ya kutisha ya kijasusi iliyotolewa mwaka 2022 na kuongozwa na Neil Marshall. Hii hapa ni...
Episode 1: Introduction.
Hii episode ya mwanzo itakua zaidi ni utangulizi (introduction) ya kujua watu na maana ya maneno yalivyotumika. Tutajitahidi ziwe ni posts fupi fupi ili isiwe tabu kwa...
Hello guys
Ni wimbo wa old school, moja ya mashairi yake yanaimbwa hivi,
"Tumeumbwa tupendane na tuishi kwa usawa, baba muumba...yatima ni binadamu anaehitaji kusaidiwa"
Kwa kusikiliza sauti...
WACHUJA NAFAKA Tusisubiri Wapotee wote.....ndiyo tuseme waliwahi kutoa Moja ya Albamu kali, Narudia Tena Albam kali kuwahi kutokea Tanzania.
Fatilia Uzi Huu utajua kwanini nakuambia Ilikuwa moja...
Wakuu habari za muda huu, natumai mnaendelea vema na majukumu ya kujenga Taifa.
Kama uzi unavyojieleza hapo juu, kuna wakati inatokea tuu kuna wimbo wowote ule uwe wa dini, qaswida, au nyimbo za...
Wanajukwaa naomba kuuliza ile kwaya ilioimba wimbo wa BWANA WAMABWANA ambayo ROSTAM wametumia sehemu ya wimbo huo kama kiitikio kwenye wimbo wa Kaka Tuchati, kwaya ile inaitwaje? Au msanii anaitwaje!?
1. Changes ya Tupac
https://youtu.be/eXvBjCO19QY?si=Fwtyece1Ac7kPCkH
Origina yake
https://youtu.be/GlRQjzltaMQ?si=ZwPSmhk-4Vx8__Ku
2. Forever Young ya Jay Z...
Nahisi 2pac is back, Sasa hii ndo pure hip hop na wakati inahitajika kama ukiipinga lazima ukapimwe akili,Sio Roma wa kibamia ama Dem uyu au dem uyu.
Hii ni HIP HOP YA MWAKA
Ni muda sasa tumepata kuona mabadiliko makubwa sana kwenye nyimbo za dini (gospel) haswa katika upande wa lugha ya kiswahili, Kuna kwaya kadhaa zimepata kuondoka na upepo mkubwa sana ndani ya...
KIKUNDI cha Uimbaji cha Zabron Singers wamevunja rekodi kwa Afrika Mashariki kutazamwa na watu zaidi ya milioni 10, jambo ambalo halijawahi kutokea kwa wimbo wowote ya dini.
Kikundi hicho chenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.