Habari zenu wapendwa katika mimi!
Kuna wakati fulani unaweza ukaskiliza wimbo mmoja hata wiki nzima. Hii huwa inatokana na aina ya wimbo, pia huo wimbo umeutafuta kwa muda gani.
Myself nina...
Nimeona nizungumze hili kwa vile kwa kweli katika walio ktk game ya stand up comedy. Kuna watu wanajaribu sana kumkuza Mc pilipili ambaye mimi namwona ni mmoja ya watu wasiojua kuchekesha hapa...
Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui, Mtaje
kaeni mkao wa kula story nyingine toka kwa mtunzi yule yule aliyetunga peniela now kaja na kitu kiitwacho queen monica. kutana na kijana AUSTIN JANUARY mtanashati na jasusi hatari anafanya mambo...
Teddy alimuibia Franklin pesa zote kwenye account Dola milioni 73 bila kuacha senti
Franklin aliweza kumkamata na kumtesa mpaka akakubali kumlipa nusu ya pesa aliyoiba dola milioni 37
bad luck...
Kwenye movie za Marvel nimeona Villains wa bad wengi sana kama vile Loki , Dr Doom Kang the conqueror na wengine kibao.
Ila hawa wote wachumba tu kwa Thanos, mwamba aliwapa shughuli pevu...
I believe mtu anayekufa anajua dhahiri juu ya kifo chake, Hivyo kuna uwezekano mkubwa wa kusema kitu fulani kabla ya kifo kumpata.
Undoubtedly true we've seen that several times.
Majira ya saa...
Habari, wanajamvi/wapwa.
Leo Nimekuja na mada Kama inavojieleza, Mie Ni mmoja wa wanaopenda kujisomea vitabu na movie pia.
Ila KWA Sasa naomba tujuzane VITABU /NOVELS Kali Kali na zenye...
Habari ndugu zanguni.
Naomba kwa anayejua process yakuanzisha festival Tanzania.
Nilazima niwe Na kampuni au nikupata vibali vya halmashaur tu Ya sehemu husika unapotaka kuweka Tamasha?
Naomba...
Filamu za bongo movie zimekosa mvuto kabisa hii ni kutokana na kutawaliwa na watu wanaoona kipaji ndo kila kitu.
In fact kipaji bila maarifa ni kazi bure, Huwezi kuwa na idea za kuteka maskio na...
Heshima kwenu wadau wa jukwaa hili,
Najitokeza kuulizia wimbo wa zamani kidogo jina lake limenitoka ila nakumbuka baadhi ya mistari yake ilikuwa 'samahani mama usiitoe mimba yangu naomba uinusuru...
MY BOSS MY LOVE [emoji3589] NO:01
MTUNZI....... RITHA STORIES
WHATSAPP.........0763836152
Kwa majina natwa Lilian Adrian jina la tatu mliache nitawatajia siku nyingine
Mimi ni Binti wa miaka...
Nimechek series nyingi sana za mablack America ila mpaka sasa sijakutana na series kali kama hii kuanzia stori mpaka wahusika wake ni balaa.
Itafute kama hujaichek
Ambwene Mwasongwe anafanya kazi nzuri za nyimbo za gospel.
Uimbaji wake unakonga moyo wangu natumahi pia kundi kubwa la watu kama mimi huvutiwi na uimbaji wake.
Ombi langu
Ni nyimbo gani za...
Hii ni list ya movies ambazo watu wenye uelewa fulani ndio wanavutiwa nazo zaidi
1. SHERLOCK HOLMES
2. INFERNO
3. INCEPTION
4. TENET
5. THE EXAM
6. THE BIG SHORT
7. INTERSTELLAR
8. THE...
Tazama video hii ukaone kadada kenyewe. Aisee nimekaelewa kinoma noma. Kwa sababu ndio aina ya mademu ninao tokaga nao. Unaposikia Likud kaenda sijui Lindi, Mtwara, wherever kutafuta mademu...
Habarini wakuu!
Nina App yangu nahitaji kuitangaza hivyo wale ambao wameshatumia ma influencer wa tz, nilikua naomba mnisanue bei zao nijipange. sihitaji wabashiriji🤣. Naanza mimi kusanua "Mr...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.