Vipi ndugu zangu.
Vitu vitamu kama hivi hapo chini ni vigumu sana kuvipata kwa msanii mungine yoyote zaidi ya marehem Banza Stone:
1. Kisa cha mpemba.
2. Mwenye kwenu kwaheri.
3. Mtu pesa.
4...
Kundi la waruka sarakasi kutoka Tanzania liitwalo 'Hakuna Matata Acrobats' wanaendelea kufuata nyayo za 'Ramadhan Brothers', hii ni baada ya kutua kwa kishindo katika hatua inayofuata kwa kupewa...
Hili jambo nimekuwa nikijiuliza muda mrefu. Ila kabla ya kwenda mbele, tupate maana ya 'Mfalme wa Muziki' fulani.
Tuanze na mifano hii, ili kuweka mambo kwenye muktadha. James Brown ni Mfalme wa...
SUPPORT YA MSANII
SOGGY DOGGY ANTER KWA WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MKOANI MWANZA..
____________________
✍🏾 Bila shaka jina la Msanii Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a soggy doggy anter sio...
THE BOYS drama ya kimarekani inayohusisha masuperheros au (Mashujaa kwa waswahili). Drama hii inaelezea Superheroes wenye ushawishi kwa umma waliyejiwekeza katika (siasa) wanasiasa, na wakati...
NARINGA- ZUCHU
Mh-mmh
Nani Roney?
Ah, Roney (he-hey, yoh Tron)
Sing, mmh, eeh
Let sing, come on, eeh
Sioni aibu
Kwa kila linalo nifika
Maana kukosea ni wajibu
Mola ameshaandika
Na sianguki, mimi...
Kuna mnigeria mmoja kwenye mtandaoni anaposti kuzikejeli movie za kihindi wenyewe badala ya kukubali makosa wanamshsmbulia na kutukana Waafrika.
Angalia kama hii hapa chini full utoto, sound na...
Na mwandishi wetu
Sehemu ya 01,
NYUMBA YA MAJINI
“KAMA kuna watu hawayajui haya nitakayoyaongea basi nawataka kuanzia sasa wajue kwamba, hapa Dar kuna mambo makubwa sana ambayo ukisimuliwa...
Habari wakuu. Ni swali tu nimejiuliza hili. Kuna kazi nyingi sana za waandishi ambazo zipo tu hata huku JF, tunazisoma bila ya wao kufaidika chochote. Natafuta lengo la kufanya hivo lakini kila...
#KOMASAVA ON THE USA BILLBOARDS CHARTS 🇺🇸🤝
#komasava Unakuwa Wimbo Wa Kwanza Kutoka Tanzania Kuingia Kwenye Charts Za Billboards Marekani (Billboards U.s Afrobeats Songs Top 50) Na Kushika Nafasi...
Salaam wakuu,
Uzi huu maalumu kwa sisi wapenda bata hata kama vyuma vimekaza, tunapambana na hali zetu na bata kama kawaida.
Sitaanza kwa kutaja kiwanja chochote kwa sasa, isionekane nafanya...
Nimetokea kuuchukia sana huu wimbo😡😡
Huu wimbo umehusika kuchochea maovu na huenda utazidi kuleta maovu mengine mazito.
Pia soma: Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya...
SIJIWEZI Lyrics By Poor Brain Featuring Ms R
VERSE 1 Poor Brain 🧠
Koh koh koh
Bomboclat
Oooh baby nataka nikwambie vile moyo wangu what i feel,
Are you ready uisikie nafsi yangu upande wa...
Yondo Kusala Denise (amezaliwa tar. 1 Januari 1958) ambaye anajulikana zaidi kwa jina la kisanii kama Yondo Sister, ni msanii wa Kikongo. Wengi humwita "Malkia wa Soukous", "Tina Turner" wa muziki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.