Wadau naomba mwenye huo wimbo hapo juu aunipe au anipe link ya kuudaunlodi. Nimeshatafuta sana bila mafanikio.
Baadhi ya lyrics zake ni .".....kulishwa sahani moja wewe na mume mwenzio,
Usikione...
Hii ngoma kali sana kwa upande wa wadada wanaofanya hip hop na trap imakaa poa sana bit yenyewe nzito naona anafanya poa sana huyu mdada.
Katika hii ngoma yupo na jamaa anaitwa Emtee naona...
Mzalendo aachia ngoma nyingine "Changamoto" baada ya kimya cha muda mrefu. Hii ni mara ya kwanza toka alipoachia ngoma kali ya "Nasogea Goligota".
Ndani humo amewapiga vijembe BAD, Mh. Wa mambo...
Habari wana JF,
Kwa wote waliopitia katika hali za kukata tamaa kutokana kwa jambo moja au jingine napenda kuwaambia lingalipo tumaini. Hebu msikilize hapa Gloria Muliro akikutia katika wimbo...
Mwanariadha aliyewahi kutikisa katika mbio fupi ameanza kuitumikia timu yake mpya ya mpira wa miguu. Timu hiyo ya CCM imekuwa na matokeo mazuri ilipokutana na CCS. Bolt aliingia kipindi cha pili...
Mwaka 1983 hautasahaulika kwa mashabiki wengi wa muziki hapa Tanzania na duniani kote baada ya mwanamuziki mkongwe Lionel Richie aliyejiengua kutoka kundi la "The Commodores" kuachia wimbo wake wa...
Nini kimewakuta Man U weekend hii??
Hakuna asieona kama leo Man u walikutana na Beki bora iliowasumbua sana mashetani hao wekundu kwenye uwanja wa Amex stadium.
Kuna mambo kadhaa yakuojili leo...
SONG MR-PRESIDENT
ARTIST R.O.M.A
PRODUCER J-RIDER + YUDDI
STUDIO TONGWE RECORDS
romabraq@yahoo.com
INTRO
By…..Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Ikulu ni mahali patakatifu, ikulu ni mahala...
Katika muziki wa bongo fleva, mimi hupenda kusikiliza Alikiba . Nyimbo zake huwa zinamafunzo na zinaonya jamii kwa jumla . Kwa maoni yangu hizi ndio nyimbo zake bora
Lofa
Mwana
Mapenzi yanarun...
Wadau kama wewe ni mfuatiliaji wa kazi za wasanii naomba uje tujadili. Hivi ule wimbo wa sista fey wa kaja mwenyewe ni wa kuelimisha au kuburudisha. Naombeni maoni yenu juu ya wasanii wa bongo...
Karibuni katika channel ya uimbaji muziki hapa tutashirikiana kupeana nyimbo nzuri kutoka kwa makundi,ideas mbinu za kukuza uimbaji na muziki wa kikristo/injili/choirs/groups n.k ni imani yetu...
Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda...
Kwa kawaida wimbo mzuri ni ule ambao huburudisha nafsi yako, na sio fulani akiupenda lazima na mimi niupende, mfano kuna mtu anapenda nyimbo ya U.S kwa sababu fulani anaipenda au anaona kupenda...
Wakuu,
Mnakumbuka ukumbi wa Rungwe, Mbowe, Lang'ata, Tazara na nyingine na DJ hawa Deo composer, Young millionaire, Chogo, Bon love na wengine wengi, kama unakumbuka mengi tukumbushane.
kama inavojulikana kuwa mwanamke ni kama kanisa la kristo .na inabidi tuwapende wake zetu kama kanisa .je kwanini sasa wanaume wengine wanaoa zaidi ya mke mmoja??
je wanashindwa kuhimilizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.