Nabembea
Wanamuziki wachache wenye vipaji nchi hii ni pamoja na huyu kijana Ditto
Ukimsikiliza nyimbo zake ni kama kilevi kinacholevya taratibuuuu anakuchukua kidogo kidogo ukija kushtuka...
Salaam wakuu,
Kama mada inavyojieleza hapo najaribu kutengeneza listi ya instrumentals za Mamtoni lakini naona kama hazina mikito kiivyo kama ipo ngoma unayojua ina biti kali hebu fanya kuitupia...
Mimi ni msanii Sasa basi huu wimbo nimeuskia ukipigwa kwenye redio dakika ambazo nahisi tiyar walishataja jina lake., na nimetokea Kuupenda. Sasa nataka niufanyie cover tatzo cjui nyimbo...
Mimi ni mmoja wapo wasijua maana ya kusherehekea siku ya kuzaliwa.
Naomba nielimishwe kwa nini tunasherehekea siku ya kuzaliwa baada ya kusikitika kwa umepoteza muda mwingi hapa dunia bila...
Kuna wasanii wa Bongo Fleva waliofanikiwa kuhit sana na kujitambulisha vyema but wakashindwa kumaintain either kwa kutoa nyimbo zenye ubora unaoendana na uliowatambulisha or wakaingia mitini...
Jana nilienda cinema kuangalia filamu ya Avengers. Jamani hata lile shetani lijambazi sugu halijakufa picha ikaisha. Halafu watu wengine wakaanza kuyeyuka; King of Wakanda akayeyuka kidogo nilie...
Habari za mida hii wanajamvi
Nilikua naomba kujuzwa ni kwanamna gani naweza kuhack dream leage bila kutumia lucky patcher
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please - JamiiForums
Kwa wale waigizaji, watunzi wa story, directors wa movie...pitia hapa please
Sent using Jamii Forums...
NISAMEHE MPENZI
Mtunzi:Juma Hiza
0712988278
Hali ya hewa ilikuwa shwari katika jiji la Daresalaam. Ndani ya chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM kilichokuwepo maeneo ya Posta mtaa wa Shaaban Robert...
Inakwenda kwa jina la Human race. Ina nyimbo kumi na moja. Mkongwe huyo wa muzic wa raggae barani Afrika amewashirikisha baadhi wa wanamuziki nguli wa afrika. Fally Ipupa, Angelina Kidjoh na...
Jana nimelipia kifurushi cha azam cha sh 23,000\= na channel zilifunguka vizuri..lakini leo asubuhi inaonesha kadi haiko sawa..nimewapigia kwa namba niliyoitoa kwenye screen wanasema nitoe kadi...
RIWAYA: SUCCESS ON MY MIND[MAFANIKIO KATIKA AKILI YANGU]
MTUNZI: PHABIANI ISAYA THE INTER NATIONAL AUTHOR,
SEHEMU YA KWANZA
SIMU : 0717420309
.
Ni asubuhi yenye kupendeza jua likiwa lime...
Habari zenu wakuu. Nataka next month niende mikumi japo nispend siku moja. Hebu nimpeni mchakato pamoja gharama za kuwa mikumi jwa siku moja au 2
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.