Ustar wa kibongo naona ni kama kero/ ukipita masikani lazima uwe na jero/ wengine ukiwapa jero hawataki wanataka buku/ na ukisema huna lazima wakutoe mkuku/wanashindwa kulinganisha thamani ya jina...
EEH MOLA - HARD BLASTERS CREW ( H.B.C)
Ni hitimisho la mwisho jaribu kufanya masahisho/ kabla ya mungu hajakata pumzi ya mwisho/si vitisho ni wakirisho kuona kata wito pima uzito hapo ulipo...
MAKOMA
Makoma ilikuwa bendi ya muziki wa Injili kutoka nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Makoma wanaimba kwa Kilingala, Kiingereza na Kifaransa, na wakati mwingine Kiholanzi na...
MWANA FA & AY
SONG: HABARI NDIO HIYO..
Ha, ha, habari ndo hiyo
Ha, ha, habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo hiyo
Ha ha habari ndo...
Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa.
Kabla sijataja kumi bora yangu ya nyimbo za muziki wa Congo (Kinshasa & Brazaville) ni lazima tukubali tu kwamba bado rhumba na dansi ni miziki inayopendwa...
Septemba 7 mwaka huu, Cardi B na Offset waliungana kwa pamoja kumkaribisha ulimwenguni mtoto wao wa Tatu pamoja.
Cardi B ame-share nasi picha pamoja na video kwenye akaunti yake ya instagram...
VIVINI FT Q CHIEF - ITAKUWA NGUMU...
Chorus..
🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶
Oooh ooooh oooh oooh
Ningekununulia Gari mama weee!!
La kifahari lakini sina pesa " itakuwa ngumu"
Ningekupeleka shart mama wee...
MAREHEMU COMPLEX
_________________
"Navuta bafu la Vibe natoa moshi wa ryhems/ kama data, data kidogo nakuja na zangu ryhems/ sitaki utani walidhani Tupo ngizani/ wakafika uwanja na kupayuka...
CREW YA "GHETO BOYS" KUTOKA MJI KASORO BAHARI..
Wasanii waliounda kundi la ghetto boys...
Ok Ghebo boys ilikuwa timu 1 Afande selle
2. kasa boy
3. juma mjivuni
4. mdogo Dito
5. bwana samu &...
Elton John Farewell Yellow Brick Road
This event event has ended
Info about security, timing and mobility: see Timing under Calendar
PLEASE NOTE THAT THIS CONCERT WILLSTART AT 7.30 P.M.
Waiting...
MOROGORO IMEKOSA NINI?
Swali la dhati kabisa kujiuliza?
Magwiji wengi kwenye fani za siasa,michezo na muziki
MORO JAZZ BAND MBARAKA MWISHEHE aliiweka kwenye ramani Morogoro
Achana na BIFU la...
WATOTO WANAFANYIWA UNYAMA.
Inasikitisha kuona watoto wanafanyiwa ukatili mkubwa wa Utekaji,ubakaji,ulawiti na matendo mengi maovu.
Ni nani atawalinda?
Ni nani atawatunza?
Ni nani atawapa malazi...
RIWAYA; . CASABLANCA PAPERS....
NA; BAHATI MWAMBA...
Sehemu ya kwanza...
Alikuwa ni mmoja wa watu maarufu sana ndani ya jiji la Dodoma, umaarufu wake haukumkuta kwa bahati mbaya...
Tamasha la Rapa wa Marekani, Travis Scott lililofanyika usiku wa jana mjini São Paulo, Brazil limesababisha mitetemeko iliyofanana na tetemeko la ardhi hadi umbali wa vitongoji sita kutoka eneo la...
Rapa Lil Wayne amesema kitendo cha kutochaguliwa kuwa Msanii atakayeongoza Watumbuizaji katika tamasha la Super Bowl Halftime kimemuumiza na hakujiandaa kiakili kukabiliana na hali hiyo
Wayne...