Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Ni katika ngoma mpya ya kwake Maua Sama produced By Abbah! Wote tunafaham Maua Sama alivyo barikiwa sauti nzuri sasa amekutana na King mwenyewe wa R&B can you guess hiyo colabo ikoje? I dedicate...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wamekutana
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Salama Wana Jamii forum. Na poleni na msiba wa Papa wemba. Jamani mwenye kujua vibao vizuri vya muziki wa Zaire{Democratic Republic of Congo} na habari za wasanii kama wakina Yondo Sister na...
4 Reactions
27 Replies
10K Views
Kuna wimbo uliimbwa zamani kidogo na msanii wa bongo simkumbuki lakini alikua na rasi. Unaimbwa hivi..hoo baby zimbaa,zimbaaa hoo baby zimbakalanyo. Nahisi kuna kitu unataka kunieleza lakini...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
It takes a million people To build up a good reputation But it takes one stupid fool To destroy everything they've done The world knows your people as The most violent in the world The world knows...
32 Reactions
67 Replies
32K Views
Nimependa mashairi ya huu wimbo 'ALL OF ME' by John Legend ......kama hujawahi kuusikia utafute but mostly nimependa choice of words....hasa aliposema ' i love you with all your 'perfect...
16 Reactions
148 Replies
10K Views
Baada ya kufanya hit song na Ben pol, ungependa afanye collabo na nani?
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Hy
0 Reactions
0 Replies
566 Views
Mwenye projector nzuri ambayo inatumia umeme wa ac-dc .Iwe HD katika picha ili niweze kuinunua kwa ajili ya kuonyesha Mpira nje na iwe Quality Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
839 Views
Hello me and my friends are wondering what is a best place to get swahili songs, old and new ones? Mimi na rafiki yangu, tunataka kujua sehemu gani tunaweza pata nyimbo za kiswahili, bongofleva...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hongera Wasafi TV kwa burudani nzuri mnayotoa, mnakubalika na kwa kweli mtafika mbali sana. Kinachonikera ni kipindi chenu cha Kungwi na matangazo yake. Maudhui ya kipindi na matangazo yake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna msanii nimemsikia kitambo saana nyimbo yake moja inasema,nitanukuu tu baadhi ya maneno.."Leo ni vifijo na vigele gelee! Moyoni mwangu,raha tele telee! Ni pendo,ni pendo,furaha tuu! Na kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna wale watazamaji wa movie ambao hudhania filamu nzima inapokuwa ikiigizwa basi wale masterling wake ndio ambao huwa wanahusika kwenye kuigiza complete set za filamu husika!. Well unachofikiria...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Mwenye nyimbo za dini za zamani na mpya mpya naomba anitumie, njia ya kutumia inaweza kuwa kwa kutuma link ya google au Microsoft drive au cloud storage yoyote. Pia kama kuna mtandao unaujua...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Asante Kante,mchango wako katika dakika 45 hautasahaulika.Nenda na njano ila NYEUSI yako rangi itawachoma milele.
0 Reactions
4 Replies
981 Views
ZIFAHAMU SIFA ZA WASHIRIKI MISS TANZANIA KWA MWAKA HUU. Washiriki wote katika ngazi zote za mashindano watakuwa wasichana tu wenye Sifa zifuatazo; umri wa kati ya miaka 18 hadi miaka 24(mshiriki...
1 Reactions
103 Replies
21K Views
1. Baila by Diamond Platnumz Ft Miri Ben-Ari 2.Totoa by Aslay 3. Kiki ni Gigy by Gigy money Ft Whozu& Sanja 4.Nadekezwa by Mbosso 5. Banana by Dogo Janja Ni hayo tu kwa leo.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za hapa jamvini, Naombeni yeyote mwenye wimbo wa Jastin Kalikawe unaosema "usitumie cheo chako kama dhamana ya matakwa yako mwenyewe" aniwekee hapa.] Nawasilisha.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nilikuwa nimekaa zangu pande flani mara akaja dada akauliza "Iv walioenda kupokea ndege wamesharudi? Maana mume wangu simuoni" Nimjibuje? @ Entertainment
1 Reactions
5 Replies
655 Views
Back
Top Bottom