Mwaka 1990 Kanisa Katoliki nchini Tanzania lilipatwa na ugeni kutoka VATICAN.
Papa YOHANE PAULO WA PILI alidhuru Tanzania. Kanisa Katoliki Tanzania liliandaa kwaya Maalumu...
Naomba mtaalam wa mambo ya biashara ya muziki anidadavulie nini kimeua muziki wa dansi.
Mbona wapenzi wake bado tuko wengi kuliko miziki mingine? TV stations na radio ni kama zimeamua kuususia...
Habar,
kama wewe ni msanii wa kuimba karibu sana katika studio zetu za Moo Record uweze kupata ofa ya kurekodi wimbo wako kwa bei ya shilingi 60,000 tu na pia tutakusaida katika conection mbali...
Mlianzisha tamthilia ya kifilipino "I will never say goodbye" na SASA MMEIKATISHA bila taarifa kwa watazamaji. Huu ni utovu wa nidhamu kwenye tasnia na wala sio weledi.
Sio mara yenu ya kwanza...
Sijawahi kuangalia movie yote ya Kibongo bila kuona kipande cha mapenzi . Maajabu sana !
Tunashindwa kuangalia na watoto na mama mkwe aisee !
Mbaya zaidi vipande vyenyewe wanavyoigiza...
Producer na Msanii Mike WiLL Made It akiwa na msanii Trouble wakitambulisha album yao mpya ya #Edgewood kwenye redio moja USA wakaulizwa na mtangazaji wanahisi nani ni muanzilishi wa Trapp Music...
Tulisha waambia hapa kwamba... Jitahidini muwe tofauti.
Kama mmeamua kuwa TV ys Burudani then be it... Pigeni Mziki tu. Msije jaribu leta mambo ya taarifa za habari au matukio..
Alafu msikopi...
Kumekucha!
Muda mfupi uliopita Mahakama nchini Ufaransa imeamuru Mwanamuziki Koffi Olomide akamatwe haraka na apelekwe nchini humo kujibu mashtaka ya Kupiga, Kubaka na Kuwadhalilisha Kingono...
Kiukweli movie hii wakati inatangazwa na hata baadaa ya kutoka watu wengi waliisifia sana mpaka nikahisi kuwa chizi kwasababu sikuwahi kuiona.
Mmmmmmmmhhhhh!! Nigune tena mhhhhhhhh!!
Sasa...
MTUNZI: NYEMO CHILONGANI
mwanadishi kutoka nchini Tanzania, Erick Justo akiwa amechaguliwa kuwa mwandishi bora wa habari kwa Bara la Afrika mwaka huo. Ukiachana na furaha za Watanzania hao, hata...
habari wadau..
tunajua wcb ina uhasama na redio na tv karibu zote kubwa.. na hawapigi nyimbo zao nowdays..
kwa ngwaru imetoka kipindi ambacho wameshazuiliwa nyimbo zao kupigwa...
nashangaa...
Good Morning kwenu nyote..
LEO NI #TAZAMAMOVIE FRIDAY
BOFYA MBELE YA MAJINA YA MOVIE KUTIZAMA MOVIE UZIPENDAZO.
"JE ALAUMIWE PART 1"
"JE ALAUMIWE PART 2"...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.