Ujumbe mzuri kwa wanaoamini na wasioamini.
Great message to believers and Non-believers.
===========
Chorus!
Fanya Hisab Kamili
Upime zako Amali
Upatalo ndilo kweli
Amua Mwenye Akili
Verse
Mja...
Anaitwa Ayodeji Balogun wengi tunamjua kama @wizkidayo kaweka Historia huko UK kwa kujaza uwanja wa O2 ambao unakusanya watu 20,000 na tickets za show zilikua Sold Out siku nyingi tuu kabla ya...
Are you ready to win big?
Do you love singing?
Have you ever dreamt of being a music star?
Here is a chance to get them all in Boomsing!
Sing a song to win
Infinix ZERO 5 Pro, Infinix Hot 5...
Wameshinda magoli mengi kuliko tim yeyote uefa hii
Wamepata cleen sheet nying kuliko tim yeyote uefa hii
Hawajapoteza mchezo wowote had sasa
Wamefuzu nusu fainal kirahis sana licha ya kupangiwa...
Yaani series zao hazitofautiani sana na Movie za kibongo hasa
katika sehemu ya Kurefusha makusudi. Yaani inakuwa ndefu mpaka
unakosa hamu ya kutazama. Hivi mnawezaje kuziangalia hizi???!!!
RIWAYA: C.O.D.EX 4
(A Missing Soldier)
MTUNZI: Frank Masai
MAWASILIANO: 0717 738973
SEHEMU YA KWANZA.
“Tulikuwa ni watu kama watu wengine. Tuliwapenda wazazi wetu kama watoto wengine. Tuliishi...
Tupitie verse ya legendary wa hip-hop kutoka Arusha best story teller raper ov all the time umbwa mzee......nyang'au
Ilikua Manchester bar mida ya saa tisa
Machiz wanapiga deal kwenda kuliza...
habari za saizi waze wote wa forex,blog,bet,mapenzi na wale wenye stress za maisha. anyway
JAMANI kuna miziki mizuri kiasi kwamba hataukiwa na stress au hasira lazima ziishe bila kupenda UKIWA...
historia ya mwanamuziki peter crazy
Mei 19, 2018
peter crazy
peter crazy ni jina la kisanaa la kijana anaeitwa peter msuku ambae ni mwanamuziki wa miondoko ya rap na mwandishi wa nyimbo...
Salaam jana jf
Katika pita pita zangu kwenye youtube nimekutana na hii video ya Katy Perry, ni video ambayo ina matukio mengi na ya kusisimua. Mpaka sasa hivi ina viewers 2.3 billions. Director wa...
Kama unakipaji cha kuimba muziki na unataka kuwa kama, au kuimba na msanii yeyote superstar TANZANIA na AFRICA unaweza kutumia simu yako ya mkononi kujirecord video au audio clips kisha unatag...
WAJANJA WOTE WA MJINI WANAITAZAMA SERIES KALI YA VICHEKESHO VYA 'BAKORA' KUPITIA CHANNEL YAKO PENDWA YA 'BONGO SINEMA' YOUTUBE JE WEWE UNASUBIRI NINI? EBU ANGALIA KISHA UNIPE MAWAZO YAKO KUHUSU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.