Habari za jioni wadau.
Kwa wale wazalendo wa nyimbo za hapa nyumbani maarufu kama bongo fleva mtakua mmeusikia wimbo mpya wa msanii Diamond Platnumz.
Mimi sio mshabiki wa huyu msanii ila hii...
Huu wimbo umejaa matusi mno sijui hii sanaa ya hawa vijana wa bongo fleva wainaipeleka wapi ni uchafu mtupu hasa verse ya Roma nae maua kaingia mkenge katika huu wimbo wa uchafu.
Baba yake na...
Kwangu mimi ni:
Game over man
Dear dictator
Acts of vengeance
Till death do us apart
Na nyingine nilizozisahau na nyingine zipo still kwenye downloads..
Nimesikitishwa sana na kwa kiasi kikubwa mno mara baada ya kusikia ya kwamba Mwanamuziki wa Ngiama Makanda Werrason na Bendi yake ya ' Maison Mere ' wanakuja ' Kutumbuiza ' nchini Tanzania kwa...
Leo nimepata muda basi nili check mawingu TV walikuwa na event mkoan huko so katika kutoa appreciation zao kwa msanii , jina mtoto wa mama said basi nilikuwa na subili nione kama watapiga nyimbo...
hakika Koffi Olomide ni mwamba katika mziki
Alidor lyrics
The reality is unreal, Saint-James, Didi Stone, organise a reunion for your mother, so she can take it easy
Baby you told me that...
Wakuu kuna siku siku nilimsikia Diamond akisema kwa mafumbo kuwa eti nyimbo zake hazipigwa kwenye baadhi ya redio na luninga kwa sababu za maonevu.
Ni vituo gani hivyo na kwasababu gani hasa?
Mwanamuziki wa Bongo fleva Diamond Platnumz amekutana uso kwa uso na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo harrison Mwakyembe na Naibu Waziri Juliana Shonza kwenye kikao walichoka kwa...
HABARI ZA JIONI
LEO TUNA MOVI MPYA TENA YA KICHAWI NA YA KUTISHA "Kundi la vijana ambao wanaenda katika msitu mmoja kwa nia ya kushoot movie yao wanakumbana na matukio ya kuogopesha kwa kuwa...
Wakuu embu nijuzeni maradona ni shoga. Kuna clip nimeona huko Inst kwenye account ya nurs_et.. jamaa flani maarufu wa kuchoma choma nyama huko kwa nchi ya trump alimaarufu #saltbae. Maradona...
Habarini wakuu!!!
Mbunge wa Mikumi na msanii mkongwe Professor Jay kaachia ngoma mpya inayoitwa "Pagamisa" ikiwa na maana pambana/endelea kupambana. Kwa kifupi ngoma ni Kali na hizi ni baadhi ya...
Hizi ni baadhi nyimbo bora kabisa kuwahi kuimbwa na wasanii kutoka marekani
1. The chainsmokers ft codplay - Something just like this
2.Ed Sheeran - Castle on the Hill
3.kygo&Selena Gomez -...
K.K.K by Roma ft Nicolazo Verse1:Roma
Wameweka mpira kwapani
tayari nishawanawa
Ka napiga halafu nafinya
namficha shinji kagawa
Suka weka kushoto maninja wakachimbe dawa
Nina ngunga kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.