Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Mbona anamchezea hivi na kumgeukia Drake aisee!!!
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habar wana jamvi Kwanza niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.Nchi hii naona ina promote ushoga kupitia tamthiliya zake kama THE PROMISE,kuna jamaa anaitwa Takong linavaa nguo za...
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Maiko Zulu is a Zambian musician, human rights activist and a recognized International labour organisation child ambassador to Zambia. His work both in the music industry and human rights arena is...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, hawa vijana ni hazina ya Taifa, hivi mshawahi kuwasilikiliza na michano yao ya hatari? Mimi binafsi nawafananisha na MaMc walipita kama Kwanza Unit (Kwanzania), Imam Abas, Traveller mtoto...
1 Reactions
34 Replies
15K Views
Haya ni maneno ninayokumbuka sana kwenye nyimbo yake ya MAMA.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Salam wakuu, Katika mziki unaonipa comfort na peace of mind ni mziki aina ya riddim au sweet reggae. Ngoma kama comfort zone ya busy signal, wakali wakina morgan heritage, tittus riley, etc hua...
6 Reactions
115 Replies
14K Views
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA IMEANDIKWA NA : NYEMO CHILONGANI CHANZO : BURE SERIES SEHEMU YA KWANZA Msichana mrembo mwenye asili ya Kihindi, Nahra Patel alikuwa akilia huku akikimbia kwa kasi...
0 Reactions
9 Replies
7K Views
kuna muvi zifuatazo nataman kuzipata hapa mwanza mtu anaefahamu maduka yanayouza muvi hizi hapo mjini anielekeze tafadhal... (1)jigsaw (2)final destination...
0 Reactions
1 Replies
549 Views
Huyu mama Mbilia Bell staili yake ya uimbaji, sauti, mwonekano wake (sura na shepu), huwa ananiacha hoi kweli. Hasa vibao vyake vya Boyaye, Nadina, Nakeyi Nairobi na Ekoswai wapi huwa navihusudu...
5 Reactions
44 Replies
8K Views
Habari wakuu[emoji113] Naomba mwenye nyimbo za David Dengo ziitwazo umejawa na rehema na Who is greater than jehova Anitumie Pia naomba nyimbo ya kinondoni revival choir iitwayo Maombi ya Yabesi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Assalam alaykum watanzania wenzangu Nimekuwa mfuatiliaji wa muziki. Kwangu muziki una thamani yake ya kipekee. Kwani naelewa wazi kuwa una nguvu kubwa sana katika kufikisha ujumbe. Ikiwa una...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
enzi hizo ule wimbo wa Mb-dog "LATIFA" ukichezwa radion, mwenzenu nilikuwa napelekwa dunia nyingine kihisia, nakumbuka pia ule wimbo wa Prof. Jay "ZALI LA MENTALI" ulinibamba pia. Zipo nyimbo...
4 Reactions
171 Replies
198K Views
Niliusikia wimbo huu zamani ila leo nimeusikia tena, aisee humo ndani jamaa analikun'guta gitaa hatari sijui ni Diblo au Dally ila kuna sehemu kibwagizo kinaimba "tengalala tengalala..."...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Wazima wote humu? Karibuni mjipatie vitabu vya joram kiango vilivyoandikwa na marehemu ben r. Mtobwa. Mpaka sasa aina nne ya vitabu vya joram kiango vinapatikana kati ya kumi na moja. Vitabu...
1 Reactions
56 Replies
17K Views
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu Kwa mara nyingine tena yule mwanadada mwenye sauti nyororo na ya kuvutia ameachia Jisong lake jipya linaloenda kwa jina la Haachi. Kwa harakaharaka tu toka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Baada ya watu kusema nyimbo za diamond anazoproduce laizer zinakua na ubora mdogo kulingana na level yake naona kaamua kubadirisha producer kwenye African beauty ft omarion!! Diamond sasa hao...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Kama Kichwa cha Habari kinavyo Sema, nahitaji mnisaidie namna ya kupata subtitles ya movies ya jamai iraja nä Naagin
1 Reactions
2 Replies
728 Views
jaman ebu nisaidieni yani nipo kwenye familia toka nimeolewa cjawah chepuka walai nife kesho....lakini huyo mwenzangu anawivu mpaka naumwa nakonda yan nikiwa kazini anataka kila baada ya saa...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Kwa wapenzi wa simulizi jiandaeni kupokea ujio mpya wa riwaya ya KOMBORA KIOTANI Kuyajua maisha ya rais bi Kilua mpenda kuchepuka anavyoweweseka akiwa madarakani itaanza rasmi jumatatu.Safiri...
2 Reactions
42 Replies
12K Views
Back
Top Bottom