Kama uliwahi kucheza mziki kwa kuigiza wanavocheza kwenye TV halafu ukaenda kucheza mbele ya kioo, njoo tufanye mazoezi ya huu wimbo. Halafu jumamosi tukutane beach party kuoneshana maufundi...
Kwanza nitoe rai kwa Basata na TCRA hii video ndani ya wiki isionekane hewani ni kinyume kabisa na maadili ya mtanzania
Na pia video zote kutoka nje zisizo na maadili ya nchi yetu zipigwe...
Baada ya kipindi kirefu watu wakilalamika kua instagram inaongoza kwa kunyonya mb nyingi hivyo vifurushi kuisha mapema, sasa vodacom wameamua instagram iwe free kama facebook
Utaipata huduma ya...
Kwa wale wapenzi Wa kuangalia movie!!! binafsi Mi ni mpenzi sana Wa kuangalia movies na nishaangalia nyingi sana ila bado cjakutana na movie Kali kuliko series za bourne ,ukianzia identity yenyewe...
.
Na Sangu joseph
.
Kwanza nianze kukupongeza Msanii Diamond platinumz kwa juhudi unazozifanya hasa kwenye Sanaa yetu ya Muziki nchini maana burudani peeke iliyobakia kuiwakilisha nchi yetu...
Episode 1 "Ogygia"
T-Bag anaachiliwa toka kifungoni na anapata picha inayo muonesha Michael yuko katika jela mpya nyingine.
T-Bag anaiyonyesha picha kwa Lincoln,ambaye anagundua neno la siri...
Uyu jamAa huenda akawa ana tumia ndumba maana haiwezekani jamaa tangu tulipo anza sema atapotea soon lkn wapi stl jamaa yuko na anaongoza kwa Ku hut
Ona kina darasa, man fongo, alikiba, Mr blue...
Asante daimond kwa nyimbo hii kali sana..acha waendelee kubana mapimbi wale.
but hii age restricted iondoeni kwenye youtube siyo nzuri.
naona hii beat kijana Laizer hajausika hapa tafadhali sana...
Hey guys ,,naomba mnitajie nyimbo nzuri zenye kuleta hisia ,,yaan unausikiliza wimbo mpaka unajisikia vizuri ,,,ziwe za kizungu,kiarabu,kiswahili,,mnaweza rusha hapa au unaweza taja jina la nyimbo...
Huyu jamaa amejiwekea desturi sikuhizi kutoa nyimbo baada ya karne nzima,utadhani hana mashabiki ukimilinganisha na mpinzani wake, anajitahidi kutoa nyimbo na aim yake kubwa ni kutoa nyimbo ambayo...
Naona hawa kwese sports wame dominate sehemu kubwa ya vipindi.. Hata game za EPL jumamosi wanachukua feed kwa hawa jamaa..au Kuna uhusiano wa TV 1 na hawa jamaa?
Kwa wale wote ambaye ni wapenzi na wafuatiliaji wa tamthiliya ya siri za familia tukutane apa tujuzane na tujadili yanayojiri kwa pamoja
Karibuni sanaa
Baada ya kilio chanu cha muda mrefu nilichokisikia huku JF kuhusu watu kukataa kuangalia Bongo Movie nimeona niulize Swali hili:
Jamani watanzania wenzetu kwanini hamuangalii bongo movies...
Wasalaam wakuu,kuna wimbo nineusikia mahali fulani na baadhi ya mashairi yake ndio haya
Wimbo ni wa gospel
....
Mimi ninae rafiki,
Pendo lake la ajabu kwangu
Alikubali mauti,ili anipate mimi
Kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.